Ungechagua yupi kati ya hawa?

Historia🤣🤣🤣🤣
Ndio maana nikasema nipo dilemma na ninahitaji ushauri. Why mtu akijitokeza kuomba ushauri anachekwa badala ya kusaidiwa kimawazo. Hii inavunja moyo watu na wengine wanachukua maamuzi mabaya ya hata kujiua. Tujifunze kuwa na utu mtu anapoleta jambo lake na tumjibu bila kebehi.
 
Asante na ubarikiwe
 
Pesa unataka na mapenzi unataka olewa na wote upate vyote.
Jamaa mpya sio kwamba ni tajiri, ni anatoa kama mwanaume anavyotoa kwa mpenzi wake. Ex tulikaliana kimya kwa miezi kadhaa ila ni mtu tuna miaka kadhaa kwenye mahusiano. Vaa viatu vyangu halafu toa ushauri.
 
Utauza utu wako , mwili wako na muda wako kwa vijizawadi kutoka kwa huyo mtu mzima.
Una uhakika Hana mke huyo? Una uhakika huko nyuma hakua na wapenzi?
Wewe ingia kichwa kichwa uone Moto.
 
Acha umalaya binti
Sijafanya umalaya. Kila kitu kimetokea kwenye muda wake na sasa nipo katikati ya kuchagua kati ya wawili. Mbona ni vitu vinatokea sana, kwanini hapa mnajifanya Kama ni kitu cha ajabu au kigeni!?
 
Utauza utu wako , mwili wako na muda wako kwa vijizawadi kutoka kwa huyo mtu mzima.
Una uhakika Hana mke huyo? Una uhakika huko nyuma hakua na wapenzi?
Wewe ingia kichwa kichwa uone Moto.
Jamani sio mtu mzima. Kanipita miaka michache, haizidi mitano (hajafikisha hata 33). Hajaoa na hana mtoto na sio tajiri ila anatoa kwa kujali tu Kama mpenzi wake. Na sio kwamba ananipa mamilioni, ni hela za kawaida kwa sababu kipato ni cha kawaida sana tu.
 
Picha kwanza mengine yataendelea 😁
 
Nani ofu ze abavu 👏👏👏
 
Omba sana Mungu kabla hujafanya maamuzi.
 
Pesa haijawahi kucheat
Penzi halijawahi kulipa bills.
Nawasilisha!
 
Ee Mwenyezi Mungu nisamehe kwa kusoma huu uzi wa kipumbavu ambao una ladha mbaya ya chai isiyo na sukari. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…