Ungechagua yupi kati ya hawa?

Ungechagua yupi kati ya hawa?

Natanguliza salamu kweny wanaJF.

Nipo kwenye wakati mgumu mno kwenye maisha yangu kwani maamuzi yangu ndio yataamua future yangu. Nilikuwa na boyfriend wa tangu chuo, kwa miaka miwili na miezi kadhaa tumekuwa wote.

Tumepitia ups and downs nyingi lakini siku zote tunasameheanaga kwa sababu tumekuwa watu wa malengo na kuogopa sana mahusiano mapya, hivyo mara zote hata tugombane vipi lazima tuje kusolve.

Binafsi ni muaminifu sana na hata bf wangu pia sio mtu wa wanawake kabisa maana nina access na simu yake muda wowote na miaka yote hiyo sijawahi kuona kiashiria chochote. Kuhusu suala la afya, tumekuwa very careful na tuna tradition ya kupima every after 3 months or anytime mtu akisuggest.

Mwishoni mwa mwaka Jana tulikuwa tunagombana sana kwa issues tofauti tofauti (sio usaliti) ikapelekea kukaliana kimya kwa miezi.

Mimi nikakutana na jamaa mwingine maana nilishaona mahusiano na mwenzangu yameisha na nimejitahidi sana kusolve ila hakuna solution.

Jamaa niliyemeet naye ni older kwangu kwa miaka michache, very matured na anataka sana serious relationship.

Tukapima na kuanza relationship, in one month jamaa akanitambulisha in his family na anataka kuja kwetu kujitambulisha.

Jamaa anaplay roles zote kama mwanaume, kuanzia kodi, chakula na kila kitu. Anasali sana na anataka sana kuoa na kuwa na familia.

My ex-boyfriend tuliyekuwa tumekaliana kimya kwa miezi minne ananicheck, akitaka turudiane. Kiukweli nampenda kwa sababu tumetoka mbali lakini kinachonifanya niwe dilemma ni kwamba ex-boyfriend hajawahi kunitambulisha kwao, hata kwa ndugu zake na anasema kila kitu ni process, akiwa financially stable atanipeleka. Kuhusu maokoto kiukweli hana ila ni vile tu nina historia naye ndefu ya tangu skuli.

Ungekuwa wewe ungeamuaje? Ungechagua mwanaume unayempenda ila bado hana pesa na hajakutambulisha kwao? Au ungechagua mwanaume anayekupenda na anakuhudumia na yuko tayari kwa familia na ameshakutambulisha kwao?
Ndani ya mwezi amekutambulisha kwao na anataka kuoa mbona aniseed sana! Uogopi hlo?
 
Unajua kuna muda wanawake mnakuwa kama wehu sana sasa kma huna maamuzi na mpango nae huyo jamaa hadi kuja kuomba ushauri kwani ule vyake? Ndio maana mnaishia kutiwa mimba na kuachwa! Ulishaingia kwenye mahusiano mapya kwanini usitulie? Nyie watu wa kuachana mamiezi na kurudiana mtapelekeana ukimwi kuwa makini binti!

Kwanza jamaa siku akijua ulishaanza mahusiano na mtu mwingine atakuacha kwakuwa hakuna mwanaume ana samehe hilo…kama umefanya uamuzi wa kurudi kwa x jiandae kutiwa mimba na kukaa nayo kwenu huyo x kamwe awezi kukuoa!

Usimpotezee mshikaji mpya muda wake maana yeye alikuona mke lakini kumbe kichwa maji…mwambie ukweli ..uondoke!
 
Hapa Natafuta Ajira kuchukua points 6 home & away mamamae Wanawake konyo kabisa bora tuendelee kuwanunua tu, tutaendelea kuwanunua tunawatumia utamu ukiisha tunaenda kununua wengine ambao hawajaisha utamu

Jamaa anamwaga noti akishakubetua ukawa na titi ndala hakuangalii mara 2 anasaka mwingine asie na titi ndala anamlipa anaendelea kujilia mema ya Dunia acha tuwanunue na tutawanunua na tunawanunua ndio maana kishika uchumba kinaambatana na Pesa Mahari ni Pesa yaani ni mwendo wa kuwanunua tu
All women are for sale, it's just a matter of acceptable price.
 
Kwanini wewe unafikiliaje?unaonekana ni mjinga mjinga kaaa na uyo ambaye hana ela .....ila pia kama unapenda ela kaolewe na mwenye ela ila nimekuona haujitambui na nimejifunza kitu
 
Kwanini wewe unafikiliaje?unaonekana ni mjinga mjinga kaaa na uyo ambaye hana ela .....ila pia kama unapenda ela kaolewe na mwenye ela ila nimekuona haujitambui na nimejifunza kitu
Umejifunza nini anauza indirectly?
 
Kuna siku kila mwanaume kwa wakati wake atapitia threads zangu na kujuta kutozingatia ninachokiandika.
 
Nimejifunza dont be nice to a woman kama kuwapa ela unakuta huyo mdini wakusali hata hajala tunda halafu huyu binti anavyom act kama malkia ni upuuzi yaan
Akikutunuku usionyeshe U Mr Nice gentleman piga mpaka nyuma hawanaga huruma kwa Mwanaume hao viumbe
 
Ni ukweli mimi hata buku sikupi hata jamaa wakusali akimuoa hata mcheat tu ye mwenyewe haelewi hisia zake
Hapo anawaza Pesa kabla hajavuliwa chupi Pesa zikiisha anamtafuta mwingine mwenye Pesa amvulie chupi mzunguko unaendelea hivyo akiona Pesa anavua Chupi
 
Umalaya utakuponza.
Unataka uolewe na MTU mzima? Unajua huko nyuma ametema wangapi? Ogopa Sana vizee vya mjini.
 
Unajua ninj kuhusu desperation.?

Au ile methali ya " zimwi likujualo.......

Huyo boyfriend wako wapili bado hakujui na wewe humjui, sema mmekutana wote mko desperate.

Mkishaoana kimuhemuhe kikiisha ndio mtasomana vzr.

ANgalizo; simaanishi wa kwanza anakufaa.
 
Vistori vya kutunga vinakera kinoumaaaah yani!

USHAURI: PAMBANA NA HALI YAKO..

PambanaZaidi/CottonandMo
Vistori vya kutunga vinakera kinoumaaaah yani!

USHAURI: PAMBANA NA HALI YAKO..

PambanaZaidi/CottonandMore
Mpaka uone nini ndio ujue ni story ya kweli!? Wote hatuonani na hujui experience yangu, unasemaje story ya kutunga!
 
Unajua ninj kuhusu desperation.?

Au ile methali ya " zimwi likujualo.......

Huyo boyfriend wako wapili bado hakujui na wewe humjui, sema mmekutana wote mko desperate.

Mkishaoana kimuhemuhe kikiisha ndio mtasomana vzr.

ANgalizo; simaanishi wa kwanza anakufaa.
Asante kwa ushauri. Niliwaza pia kwamba ex tunajuana ila naye utoto mwingi, kununa kwingi. Huyu jamaa mpya ni mkubwa kwangu na yupo matured Ila Ndio yupo serious na anazingatia sana.
 
Umalaya utakuponza.
Unataka uolewe na MTU mzima? Unajua huko nyuma ametema wangapi? Ogopa Sana vizee vya mjini.
Hivi kutoa ushauri bila kutukana ungepungukiwa nini? Experience yangu haiwezi kuwa sawa na yako. Jinsi ya unavyofikiria na kutoa maamuzi ni tofauti na mimi. Why usitoe ushauri tu au ukapita kimya?
 
Back
Top Bottom