Hahah Shem Judgement, kapata mkunaji!lol...bt siriazly SS wangu sio mbaya kiivo tulilelewa vyema!
Wewe beibe nasty, si asubuhi umelalamika wawashwa wewe...afu unampotezea shem inakuaje!??
Wao! Wao! Wao!
Hehe-he- yya!
Weraweraa!
Nilikwambia haipiti wiki ntakunasa?
Mazimaa mwenyewe unazama kunako 18 za Judgement!
Nani uliyemsikia akinadi wastara anaumbuka?
Bt kiutu uzima maadam nshakunasa nakupotezea , nakuacha ukijua najua nshakujua kiuulaiiynii, kama naondoa utando wa juu wa yai vile.
Judgement, sijui unanifananisha na nani but believe me...hunijui! Kwanza by the mere fact dat u confusing my sex..its enough proof!Wao! Wao! Wao!