Ungefanya nini kama ungekula na kukutana na mende?

Kawaida tu hasa km mwanaume...kausha tu....shida kwa mdada sasa..
 
[emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nyumba ya sita gari la nn wanajf na magari duuu
wewe ukienda ukweni lazima uvimbe bana. Kwana mwanajamvi asubuhi asubuhi amepost jinsi anavompiga mkewe mashuti wakwe zake wakija ili tuu wajue jamaa anakanda vizuri. Yaani usipotanua ukweni utatanua wapi tena?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…