Msifuni Ally
Member
- Feb 2, 2017
- 67
- 31
Vitamin ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mchunguzi alisema kiafya mende ni tiba sasa sikumbuk alikua tiba ya nini.Vitamin ya kutosha
Huyu dogo hakusikia ule utafiti wa kuwa maziwa ya mende yana virutubisho kuliko ya ng'ombe? Sasa hapo kala mafuta yote ya mende, je, hajui kuwa amepata virutubisho ving? Acha kutukashifu.mende msafi unasemwa huku.
HahahahaJoseverest unalala sana mpaka unapitwa.
jose leo sijamuona kabisaHahahaha
hongera sanaOk nimeisoma mpaka mwisho.
[emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Habari za huku wanaJF,
Ni matumai mu wazima wa afya na kama kawaida mnapambana na hali zenu kama inavopasa.
Baada ya kupambana na hali yangu kwa muda mrefu nikaona sio vibaya nikienda kijijini kuwasalimu wazee.
Nikisema wazee namaanisha Babu na Bibi maana mimi Baba na Mama ni wa hapahapa mjini tunapishana Karikoo kila weekend.
Katika safari yangu ya kule kama kawaida niliinjoy kaubaridi ka kule na kwa wale wenzangu na mimi wa kupiga chupa moja au mbili unapokua likizo basi nadhani unatambua raha ya kuchapa bia kwenye baridi.
Kwa kweli naweza sema niliinjoy kwa kiasi kikubwa ila balaa lilikuja sasa juzi wife aliponiomba nipitie kwao (ukweni) wanazawadi wanataka kumpa ikiwa ni pamoja na ndizi na maharage.
Kwao na kwetu ni majirani ni kama nyumba sita zinatutenganisha na kwakweli wazee wake na wangu walikua hawapatani ila mahusiano yangu na yake ndo yaliwapatanisha wazee hao. Babu alitaka kwenda namimi ila kwa kua ni mgonjwa mgonjwa nikamshauri abaki tu nyumbani nitawwasilisha salamu zake.
Mtoto wa mjini navyopenda tambo nikangurumisha mgari wangu huyo kuenda nyumba ya jirani ambako ningeweza tu kutembea.
Kufika nikawakuta wananingoja na kama kawaida wazee wetu wakifika umri flani wanakua na adabu kuliko sisi. Walinikaribisha kwa heshima zote na wakaniuliza nakunywa nini. Kwakua niko ukweni ikabidi nivae ngozi ya kondoo kwa muda na nikasema naombeni maji tuu. Dada ake wife ambae nilisoma nae hapo kijijini na nilikua namnyemelea wakati tuko shule ndo alitumwa kuniletea maji na akarudi akisema maji ya kunywa yameisha labda anipatie chai.
Basi nikamwambia leta.Basi nikaletewa Thermos na kikombe na nilivomimina chai ile kama imepimwa vile ilitoshea kikombe kimoja cash. Basi nikaanza kunywa huku tunapiga story. Cha ajabu chai ile ilikua na kama mafuta na nikachomekea kijanja swali na jibu nikapewa kua Ng'ombe skuizi wana afya sana hivo hata maziwa yao yana mafuta.
Basi chai inavozidi kuisha inazidi kua tamu na mafuta yanazidi. Kwa kua ilikua mwisho mwisho nikaanza kumeza machicha hivo ikabidi nitumie meno kama chujio kuchuja chai ile. Ile namalizia kuangalia ndani ya kikombe ASTAGHFIRULLAH nikakutana na Mende wa makamo.
Yaani mende huyo kwa haraka haraka alikua amekula chumvi nyingi asee maana alikua na ukubwa ambao si wa kawaida. Kucheki vizuri sehemu yote ya tumbo kulikua hamna kitu na hapo akili ikanituma yale mafuta niliokua nasisimka nikimeza.
Niliaga kwa adabu na mapema kukimbia nyumbani gari ilibidi niiache kwanza pale ukweni niliiendea jioni. Kwa muda wa kama masaa manne nilikua napiga Konyagi na Maji tu iikudilute mafuta ya mende Tumboni.
wewe ukienda ukweni lazima uvimbe bana. Kwana mwanajamvi asubuhi asubuhi amepost jinsi anavompiga mkewe mashuti wakwe zake wakija ili tuu wajue jamaa anakanda vizuri. Yaani usipotanua ukweni utatanua wapi tena?Nyumba ya sita gari la nn wanajf na magari duuu
mende alikua mlinzi sjui wa klabu za mamende maana si kwa kukata kuleHahahahaha kitu cha mende noma.....
haya nakungoja apa iviDah broo subiri kidogo naenda toilet hii stori mmmh
ni noma mzee duuhmende alikua mlinzi sjui wa klabu za mamende maana si kwa kukata kule
ni bonge la soo na noma kilo kumini noma mzee duuh