Ungefanya nini kama ungekula na kukutana na mende?

Mende wana protini nyingi kushinda nyama ya ngo'mbe. Mkuu umekula chakula bora wala usiwaze
 
Kumbe kuna mende wa makamu, basi chukulia poa, mbona ni protein ya uhakika, cheki kumbikumbi alivyo na protein.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…