Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
vipi ulijisikia poa baada ya siku ngapini bonge la soo na noma kilo kumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi ulijisikia poa baada ya siku ngapini bonge la soo na noma kilo kumi
mbona walia mkuu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
asee we acha tuu kwa muda wa wiki nilikua nikiona chai nakumbuka yalonisibuvipi ulijisikia poa baada ya siku ngapi
noma sana kwa hiyo ulikuwa unapiga uji tu au supuasee we acha tuu kwa muda wa wiki nilikua nikiona chai nakumbuka yalonisibu
mtori sana mzee kama mama mzazinoma sana kwa hiyo ulikuwa unapiga uji tu au supu
Hatari sana kiongozimtori sana mzee kama mama mzazi
Duh mkuu huna hurumaMende wana protini nyingi kushinda nyama ya ngo'mbe. Mkuu umekula chakula bora wala usiwaze
Imethibitishwa kitabibu mkuuDuh mkuu huna huruma