Ungefanyaje kama ndio mwanamke wako.

chaguo lakoooo huyoooooooo atakamaaaaaaa lipumbaaaa
 
Hahaaaa ...au nundu kama ya mchoraji Kipanya.
 
Moja ya sifa ya wanawake ni kutopata vipara,,, so that issue never occurs in our daily life!
 
Moja ya sifa ya wanawake ni kutopata vipara,,, so that issue never occurs in our daily life!
Ushahid ninao,

Inatokeagaara chache sana, moja ya walimu wangu wa sekondari waliolua wakinifundisha commerce mmoja mwanamke alikua hana kabisaa nywele mbele mbele , zake zimeanzia kati kati kidogo..

Nilimuona siku moja akijifunga kilemba vizur.
Ila ni kifaaa hatari. Binti mbichiiiiiii[emoji1] [emoji3] [emoji3]
 
Kama ulimpenda kwa dhati toka moyoni huwezi muacha,na ndio maana dini ya uislamu unawakataza wanawake kuvaa mawigi na kusuka rasta,mwanaume unatakiwa umpende mkeo jinsi vile alivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…