Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Kuna kesi moja nimekutana nayo; kuna wazazi waliokuwa na watoto wa kike watatu hawapishani sana miaka kama 10,8 na 7. Basi binti mmoja wa kati 8 alikuwa ana tabia tabia za psychopath tangia awali mara kuonea dada yake mkubwa au mdogo mara kuua paka mara kutegeshea watu hata wazazi wake wateleze wadondoke au kuwashtua etc
Sasa siku moja alikuwa anagombana na dada yake mkubwa wa miaka 10 kugombania mdoli basi binti uyu akamchoma na mkasi kwa moyo dada yake na kumuua na mdogo wake akishuhudia na kupiga kelele hadi wazazi wake wakaja na ghafla kukutana na hayo maafa.
Wakafunga mageti yote na kuficha maiti ya mtoto wao mmoja kuokoa hatma ya mtoto wao mwingine. So wakamzika kimya kimya na kujidai kwa majirani binti fulani kaenda boarding nje ya nchi. Uyo mtoto mdogo kwa sababu ameshakuwa traumatized na hawakuamini kama asingeweza kukaa kimya ivyo wakampeleka boarding nje ya nchi na kuamua kubaki na uyo psychopath ambaye wakawa wanamfungia ndani kama adhabu uku kujaribu kuelewa kwanini yupo ivyo? Ila hakuonesha huruma au regret kumuua dada yake bali alisema tu kwamba alichukua mdoli wake ivyo yeye alikuwa anajidefend.
Wazazi wanaogopa kudili naye, wanaogopa mtoto wao ambaye wamempeleka boarding nje ya nchi kukaa na watu baki kama atakaa kimya na wanaogopa kugundulika kuficha umauti wa mtoto wao mwingine. Je wewe ungefanya nini?