Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaahaaaaaa 🙂
Kwanza ntaichuku kwa upooole kutoka kwake, then ntamuuliza amesolve vipi hiyo ishu yake maana yawezekana hajaua wala kujeruhi mhusika wake labda tuu amemtishia..
Kitafuata kichapo ili aniambie nani kampa authority ya kuichukua hiyo itasaidia next time asirudie kuichukua.
Hizo incidents naogopaga sana na ndo maana siruhusu hata housegirl kuingia chumbani kwangu though i always keep it deep in briefcase.
nina wasiwasi ni kichapo gani utakachompa mtoto anaehamua kusolve issue zake za shule kwa gun, next time akiiba itabidi asolve tatizo atakalokuwa nalo then asolve tatizo la kuepuka kuja kupigwa, guess what he will do!! hyo keshakuwa mtu mzima mimi nitaipokea kwa unyenyekevu then nitamkanya baada ya some days atulize mzuka kwanzaHahahahahaahaaaaaa 🙂
Kwanza ntaichuku kwa upooole kutoka kwake, then ntamuuliza amesolve vipi hiyo ishu yake maana yawezekana hajaua wala kujeruhi mhusika wake labda tuu amemtishia..
Kitafuata kichapo ili aniambie nani kampa authority ya kuichukua hiyo itasaidia next time asirudie kuichukua.
Hizo incidents naogopaga sana na ndo maana siruhusu hata housegirl kuingia chumbani kwangu though i always keep it deep in briefcase.
kumbe unamuogopa hata mtoto wako???
ukimchapa the next time akiibahatika tena si itakuwa zamu yako??