Ungekua Dreva Abiria yupi Ungemshusha kwenye Gari Yako?

Ungekua Dreva Abiria yupi Ungemshusha kwenye Gari Yako?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kama ungekua wewe ndo dereva abiria yupi ungemshusha kwenye gari yako kutokana na usumbufu wake?

Ukikimbiza gari kidogo analalamika wewee punguza mwendo

Ukiendesha Spidi Ndogo wewee tutafika saa ngapi wengine tunakaa kwa Murombo hebu kimbiza gari huko.

Ukipiga honi wewee utatua na mshtuko

Ukidai Nauli Wewee nataka chenji yangu haraka/mbna hii hela imechaa hivyo siitaki.

Ni abiria yupi hastahili kupanda/kushushwa kwenye Gari yako??
 
Back
Top Bottom