Ungekua Rais ungefanya urafiki na Rais yupi?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Nimeona watu wakitoa maoni tofauti pale Rais anapo kua na urafiki na Rais mwingine wakiamini urafiki wa hawa wakubwa ni urafiki wa nchi hizo mbili.

Sasa nataka kuuliza wewe mwanajamii forum ungekua ndio Rais wa nchi hii je ungefanya urafiki na Rais wa nchi gani na kwa nini ?
 
Kwwli ww ni tabu tupu
 
rais wa bongo movie na waTFF wangekua marafiki zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…