Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
jamaa ni vampire lazima ujiangalie mara 2Leo ruta kapata wapi hizi busara na hekma kiasi hiki...........kweli siku hazifanani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa ni vampire lazima ujiangalie mara 2Leo ruta kapata wapi hizi busara na hekma kiasi hiki...........kweli siku hazifanani
Mbona amechelewa sana iweje atumie Jina lako wakati ana lake ...ooops
Miaka mitatu katumia jina lako haoni incentive yoyote, ndo kwaaaaanza anaendelea kuwa gf tu. Labda hata dalili za ndoa hakuna, kaona bora alivue hilo jina. Kama unataka atumie hilo jina kiukweli fanya mambo bro.
wana jf mimi na girlfrnd wangu tuna miaka mi tatu sasa,na katika mtandao fulani wa kijamii amekua akilitumia jina langu miaka mi tatu,hapo juzi ananiambia anataka badili jina aweke her real name,mi nimebaki na maswali mengi kichwan,yeye anasema hana sababu maalum ila ametaka tuu jina lake liwe pale,ila relationship status kasema anaiacha kama ilivo,nisaidieni maana nimekua na mawazo mengi,maybe nam judge wrong,ungekua ww ungefkiriaje?