Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Ungekuwa kwenye biblia, ungekuwa nani?

Ila Mungu Alikasirika akamuua jamaa. Kwa hiyo inavyoonekana kumwagia chini siyo tendo linalompendeza Mungu.

Ooohoooo masikini......

Ila huyu Mungu ana hasira na hurjma hapohapo. Akikasirika anaua, ila anasema ukimuomba msamaha anasamehe....

Sasa hapo Onani kakaidi agizo la Mungu akafa, sijui kama angewahi kuomba msamaha asingekufa labda....

na kupiga puli jee....πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Yeah!

Jamaa aliuliwa kweli maana alikaidi agizo la Mungu la kumwendelezea ndugu yake uzao kama ilivyokuwa desturi.

Naamini hata kupiga puli ni chukizo vile vile maana unamwaga na kuharibu uzao aliokupa Mungu. Hatari sana aisee!

Kwingineko Mungu haelezeki wala kujulikana mambo yake. Onani anauliwa. Mzinzi mwingine na muuaji kama Daudi anasamehewa...Yote yanafanyika kwa mapenzi yake maana Yeye ni Mungu!πŸ™πŸΏ

Ila kama Onani aliomba msamaha kabla hajakata moto basi atakuwa alisamehewa maana Mungu huyo huyo anayejiita ni moto ulao pia ni mwenye huruma sana!

Screenshot_20230428_092838_Swahili Bible Offline.jpg
 
View attachment 2602078

Nimejikuta natafakari, hili jina Onani ndo nalisikia leo (sifahamu hadithi zote za Biblia).....

Kuna wazazi ni hodari wa kuwapa watoto wao majina ya kwenye biblia, ila sijapata ona/sikia mtu anabatiza mtoto wake kanisani jina Onani...πŸ€”πŸ€”πŸ™„

Just thinking....

Asante kuniongezea habari ya maandiko.
 
Chadema Wana chembe chembe za mafarisayo na masadukayo.
 
Back
Top Bottom