Ungekuwa kwenye nafasi hii, ungefanya maamuzi yapi?

Ungekuwa kwenye nafasi hii, ungefanya maamuzi yapi?

Nimependa 'stetimenti' zako kwenye 'braketi' ...'samhau' zinatoa picha ya 'wea yu stendi' kimtazamo
 
Mm ningemwambia tu ukweli km kuachwa acha niachwe tu, mm ni binadamu mtu alipotea kwa miaka kadhaa na wala hakukuwa na mawasiliano sasa mm Malaika kukaa tu kusubiri usichojua kinakuja lini!! Akiniacha itakuwa basi Mungu hakupanga na siwez kuforce.

Na nitaishi tu sabbu ht kipindi hakuwepo niliweza kuishi
Sijui ni kwann comment hii imenihuzumisha somehow..
 
Back
Top Bottom