Ungekuwa Mhariri Wa Gazeti Ungeweka kichwa kipi mbele na mwisho?

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP)

FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi)

LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike

Tiririka
 
NCHI YAUZWA RASMI. MKOLONI MWARABU AREJEA KWA MLANGO WA NYUMA. ukoloni waanza kurejea tena, watumia mbinu za mikataba kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…