Ungekuwa nazo ngapi baada ya mechi

Ungekuwa nazo ngapi baada ya mechi

KGB

Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
52
Reaction score
6
Wachezaji wa pira baada ya Kila Mechi,Hubadilishana Jezi kama alama ya Fair Play and Appreciation,

Je,Kama wazinzi wangekuwa wanabadilishana Chupi baada ya Kumaliza Mechi,Unge kuwa nna Chupi za kiume/kike ngapi?
 
KGB Zisingehesabika kabisa.
 
Wachezaji wa pira baada ya Kila Mechi,Hubadilishana Jezi kama alama ya Fair Play and Appreciation,

Je,Kama wazinzi wangekuwa wanabadilishana Chupi baada ya Kumaliza Mechi,Unge kuwa nna Chupi za kiume/kike ngapi?

kgb umewaza nini? wewe ungekuwa nazo ngapi?
 
Thanks God Nimeoa,Ila Zama zangu nafikiri ningekuwa na Begi zima na aina tofauti tofauti .......

Dah Nime waza kweli sababu mtu ukifikiria kwenye Life cycle yako umesha enjoy Horizon na watu wangapi calculator inagoma fanya kazi.
 
cngrats! kp t up........!!!
 
kuna wengine tunakutana nao hawavai chu.pi sasa sijui hapo inakuwaje
 
Wachezaji wa pira baada ya Kila Mechi,Hubadilishana Jezi kama alama ya Fair Play and Appreciation,

Je,Kama wazinzi wangekuwa wanabadilishana Chupi baada ya Kumaliza Mechi,Unge kuwa nna Chupi za kiume/kike ngapi?

Hivi hizi za dada zetu siku hizi tunaweza ziita chupi au ni kambakamba tu!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom