musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Namba 1 na 2 sidhani kama ni rahisi sana1. Ningewatambua raia wote wa nchi bila kubagua watusi
2. Ningewapa uraia wahutu waliopo drc na kuwasihi waachane na visasi vya mauaji
3. Maendeleo napeleka kote sio kinshasa tu
4. Ujirani mwema, sifugi waasi wa kumpindua jirani
5. Madini nawapatia mabeberu wachimbe wanipe kodi kidogo
6. Miundombinu ya nchi nzima inakuwa kipaumbele cha kwanza
7. Nawekeza kwenye jeshi na wanajeshi
8. Nasisiza kazi kuliko starehe na kijichubua
9. Najenga congo iliyo serios na watu serious
10. Ukila rushwa unapigwa shaba hadhani kwenye tv ya taifa
Kuwatambua raia wote walioko mashariki mwa Congo hasa miji ya Kivu kusini na kaskazini, Uvira, wakazi wa milima ya Mulenge(Banyamulenge), Goma, Kisangani, Virunga kama raia halali wa DRC bila kujali mila, desturi na tamaduni zao. Pia kuwashirikisha wakazi hao kwenye maendeleo na ujenzi wa Congo mpya.Wasalaam wakuu,
Congo inabembekeza ubia wa kumiliki madini na Marekani ili ipewe Usalama kama malipo
Binafsi nadhani Congo ukitoa Lumumba Patrice haijawahi kuwa na kiongozi wa kweli mzalendo anaeipenda nchi yake. Hali hii imeambukiza taifa zima na hasa vijana ambao ni nguvu kazi. Wote wanaota kwenda Paris, waache nchi yao yenye utajiri wa rasilimali waende kwenye nchi za watu
Nchi ipo kwenye shida vita asilimia kubwa ya vijana wapo kwenye muziki na magitaa wengine kwenye michezo nk
Congo is a failed state, mkataba wowote unaohusu madini na nchi za magharibi, lazima Congo itajutia.
Nipe elimu kidogo mkuu, hao watusi wanabaguliwa vipi?1. Ningewatambua raia wote wa nchi bila kubagua watusi
2. Ningewapa uraia wahutu waliopo drc na kuwasihi waachane na visasi vya mauaji
3. Maendeleo napeleka kote sio kinshasa tu
4. Ujirani mwema, sifugi waasi wa kumpindua jirani
5. Madini nawapatia mabeberu wachimbe wanipe kodi kidogo
6. Miundombinu ya nchi nzima inakuwa kipaumbele cha kwanza
7. Nawekeza kwenye jeshi na wanajeshi
8. Nasisiza kazi kuliko starehe na kijichubua
9. Najenga congo iliyo serios na watu serious
10. Ukila rushwa unapigwa shaba hadhani kwenye tv ya taifa
Nimetoka kumuuliza mwenzio, hao Wanyamulenge kivipi hawatambuliwi? Yaani wanafanywaje? Nieleweshe na wewe.Kuwatambua raia wote walioko mashariki mwa Congo hasa miji ya Kivu kusini na kaskazini, Uvira, wakazi wa milima ya Mulenge(Banyamulenge), Goma, Kisangani, Virunga kama raia halali wa DRC bila kujali mila, desturi na tamaduni zao. Pia kuwashirikisha wakazi hao kwenye maendeleo na ujenzi wa Congo mpya.
Wanaambiwa warudi kwao RwandaNipe elimu kidogo mkuu, hao watusi wanabaguliwa vipi?
Huyo jamaa ni M VentwaaNamba 1 na 2 sidhani kama ni rahisi sana
Mimi ngerudisha wale walioingia kinyemela ila raia ningewaachaWanaambiwa warudi kwao Rwanda
Yaani mtusi yeyote DRC anaambiwa arudi Rwanda?Wanaambiwa warudi kwao Rwanda
Mpaka wa wazungu uliwakata wakajikuta drc, ila kwasababu wana mila za Rwanda na wanaongea kinyarwanda ndo wanaambiwa warudi Rwanda. Wanasema hakuna mkongo anaeongea kinyarwandaYaani mtusi yeyote DRC anaambiwa arudi Rwanda?
Je hao watusi ni raia wa Congo au wakimbizi?
Utamwambiaje mtu mwenye vielelezo halali vya uraia aende nchi nyingine?
Wananyimwa kazi? Hawapewi huduma za kijamii? Kwani wanakaa sehemu moja?
Hii changamoto ni kwa utawala huu tu ama ni maraisi wote waliopita?