Aloyce Urassa
Member
- Jun 13, 2017
- 18
- 4
Abeti mechi taifa stars na senegal then awape taifa stars 3 bilaHabari za leo wakuu,
Kuna rafiki mmoja yupo Dar es salaam n Ni mfanyakazi katika ofisi ya kampuni Fulani, anatamani Sana kuanzisha biashara ndogo itakayompatia walau kipato Cha ziada ili kumudu mahitaji yake zaidi ya kutegemea mshahara.
Mpaka Sasa ameweza kuhufadhi Tsh. Milioni tano ila Hana wazo la Nini afanye.
Naomba kwa mwenye wazo la kibiashara itakayogharimu mtaji huo (5m) asaidie hapa, na pia strategies za kuweza kuisimamia huku akiendelea na ajira.
Asanteni na karibuni kwa msaada wa mawazo.
Sio lazima Dar es salaam, ila itapendeza ikiwa Dar ili aweze kuisimamia kwa karibu.
Asante Sana mkuu kwa wazo lako.Kama anaweka kwenye frem itakuwa garama pia.
Lakini pia biashara rahisi kwa sasa ni viatu vya kike, viatu vya watoto wa mwaka mmoja hadi 15
Lakini pia nguo za kike, madera, sketi, na mashati ya kiume. Na surual za jinsi ni biashara nzuri kwa sasa.
Kila la heri mkuu
Wazo zuri Sana mkuuBiashara nyingi zinahitaji usimamizi wako na ukaribu kwa hali ya juu..
Afungue duka aweke kijana aweke nguo za kike na slippers za kike afunge camera moja tu awe aangalia dukani hata akiwa kazini
Anunue vits aifanye uber
Wewe umewah kuifanya hyo ikakulipa?Biashara ya samaki itamlipa zaidi haotaji kuwa na fremu yeye awe na vijana wakuanzia 2 wanatembeza kwa mama ntilie akirumia ata robo ya mtaji inatosha.
Fanya utafiti kidogo kuhusu biashara ya sato na sangara ukiielewa nicheki tufanye biashara kwa dsm ni nzuri sana