Aloyce Urassa
Member
- Jun 13, 2017
- 18
- 4
Habari za leo wakuu,
Kuna rafiki mmoja yupo Dar es salaam n Ni mfanyakazi katika ofisi ya kampuni Fulani, anatamani Sana kuanzisha biashara ndogo itakayompatia walau kipato Cha ziada ili kumudu mahitaji yake zaidi ya kutegemea mshahara.
Mpaka Sasa ameweza kuhufadhi Tsh. Milioni tano ila Hana wazo la Nini afanye.
Naomba kwa mwenye wazo la kibiashara itakayogharimu mtaji huo (5m) asaidie hapa, na pia strategies za kuweza kuisimamia huku akiendelea na ajira.
Asanteni na karibuni kwa msaada wa mawazo.