Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekucost nini mbona unatutisha?Moja kati ya vitu navyo jutia n kuchelewa kuoa
Walifunga ndoa bila kupima ukimwi?Haya mambo wala hutakiwa kuuliza. Wewe ni mtu mzima na unatakawa uwe na msimamo. Najua wamama wengi huwa wanakuwa hivyo lakini utakosea sana ukimlegezea...
Ndiyo. Hawakupima kwani mama ndiyo alimtafuta huyo msichana na alikuwa amelelewa vizuri kwenye familia ya watu wa kanisani muda wote. Anyways, baada ya mkasa ilikuja kufanya waonekane ni wajinga sana kwani huwezi kumwamini mtu kwa macho.Walifunga ndoa bila kupima ukimwi?
Usisubiri kupata pesa ndio uoe,tafuta mwanamke ambae atalukubali ulivyo na ndio uanze nae maishaMambo vipi?
Nipende kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu Mimi ni kijana nina 26 years old bado sijajipata nina shida moja...
NI wewe kweli au akaunti wameipora,Unapambana nini wewe, sema u "mbarikiwa" amma mashine chalega.
Mama'ko kishaona dalili zako ndiyo maana anakushikilia uoe.
Huo niliouandika ndiyo ukweli, ukiupenda uchukuwe usipoupenda uchukuwe.NI wewe kweli au akaunti wameipora,
Hujatumia busara ktk hili.
Uhali gani lakini,
Happy NyuYia?
Elezea kidogo basi tupate kujifunzaMoja kati ya vitu navyo jutia n kuchelewa kuoa
Kwa nini jambaziMoja kati ya vitu navyo jutia n kuchelewa kuoa
Point....... maisha ni yako usikubali wakutoe mchezoni.Maisha ni yako, usiruhusu ufanye maisha usivyotaka kisa 'Wazazi au jamii' inataka.
Yani miaka 70-80 aliyokupa Mwenye Enzi Mungu uiiishi kwa kufuata matakwa ya watu?
Muda wake bado ukifika atawowa tu
Wewe fanya uoe. Maana tokea umeanza kupambana, huoni dalili.Mambo vipi?
Nipende kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu Mimi ni kijana nina 26 years old bado sijajipata nina shida moja.
Mzazi(mama) anapenda sana kusisitiza kuhusu kuoa kwamba wakati ni huu na anapenda kusindikiza na mifano kwamba vijana wengi wa umri wangu wana Familia kwann mm bado.
kuna muda inakua mpaka kero kwangu na huwa naumia sana kwasababu sio kwamba sipend kuoa ila ni kwamba bado napambana hivi Mpaka ana nifokea kuna binti nilimuahid kumuoa na akawa na mawasiliano na dada zangu sasa nika badiri maamuzi.
Niliona mahusiano yananichelewesha sana kukua kiuchum kama mnavo jua kuendesha mahusiano ni gharama ya muda na pesa pia hisia na mm ni mtu wa safari sana Nimeamua kua single lkn hio inanifanya nisiwe na mawasiliano mazuri na mama ang
Jamani ushauri wenu wana jamvi.
Kwa Heshima yako, sawa, nauchukuwa lakini nisisite kusema, inanifikirisha.Huo niliouandika ndiyo ukweli, ukiupenda uchukuwe usipoupenda uchukuwe.
Ukweli huwa hauna mbadala.