ABDUL JIRANI
Senior Member
- Jul 20, 2013
- 176
- 52
Huku mkoani kwetu MTWARA kuna hawa wamarekani wenye kampun ya USAID, wamejikita kwenye sekta mbalimbali. Moja ya wizara wanayoifanyia kazi ni pamoja na afya.
Hivi karibuni walikuwa na zoezi la kugawa dawa za kichocho na minyoo ya tumbo mashuleni. Huwa wanahimiza kula chakula kingi kabla ya kumeza dawa hizo.
Sasa kuna kijiji kimoja walimchagua mwanakikiji mmoja kuendesha zoez hlo. Wakati zoez hlo linaendelea wakaja wanakijiji na kumuamuru na yule jamaa aliyekawa anagawa anywe. Jamaa hakuwa mbishi akajipima urefu maana kuna tepu ambayo inaonyesha urefu na idadi ya vidonge kwa hyo maana ya kujipima akafikia kwenye vdonge 4 akachukua na kumeza bila kula.
Haikuchua hata dakika tano jamaa akaaza kuharisha na kutapika kisha akazimia. Na watoto nao wakakimbia kwa woga
Je ingekuwa wewe ungefanyaje?