Ungekuwa wewe ungemuelewaje?

Ungekuwa wewe ungemuelewaje?

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Habari,

Bila kupoteza muda niende kwenye point,
Katika pirikapirika zangu za kazi nikakutana na jamaa ambaye imenibidi tuwepamoja kwenye kazi.

Mara tukawa karibu zaidi yaan marafiki, hivo tukawa na mudabzaidi wakuchat kama marafiki wa muda mrefu vile.

Nashangaa mshikaji tukiwa tunapiga story ikitikea tunazumza mtu labda amefanya jambo flani hasa kwenye mahusiano nakuta mshakaji anamsifia mwanaume kuliko demu yaani anatoa sifa zaidi kwa uzuri wa kifua, urefu yaan anamsifia dume mwenzake kwa hisia hatari.

Mbaya zaid mda mwingine ananiponda mim kisa sina kifua hivo siko sexist, halafu kwakua mi nipo karibu saana na mke wangu ananiambie et mke wangu akigegedwa na mvuvi hatomuacha huyo mvuvi na mi atanibwaga hatakama tunapendana vip, yaan jamaa anawasifia sana wavuvi kwamba ni wakali wa kugegeda mpaka namuuliza washakugegeda mpaka uwasemee hivo??

Kiukweli nashindwa kumwelewa ni mwanaume gani huyu mpaka najishtukia kuanae karibu japo kazi ndo inatulazimu, hebu nisaidieni huyu jamaa atakua si riziki au namhis tuu vibaya pia nimpotezee tuu au ntaonekana mshamba??
 
Kuwa tu muwazi... Muulize mkiwa mnatazamana macho, utajua ukweli wake
 
Back
Top Bottom