Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Kuna maeneo mwanza ni unyama, wakuja daslam hamuwezi kuelewa.Duh Mwanza mna roho ngumu nyie majamaa
😄Rami ina magari?
Rekebisha mtazamo wako!! Labda kama ni activist wa Lugha
Kujua wataathirika wangapi akidanja hizo siyo shida zetu.Na hapo utakuwa umewaathiri wangapi wasio husika?