JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Na mi najiua ili tukutane juu kwaju. anieleze pesa zilipo.
haaaaa...teh..teh....
dah ntaomba afufuke aniambie af afe tena kwa maana akibaki zitakuwa sio urithi
Imani dhaifu ! Hujaiva kiimani ujue ?
Hela kitu gani bhanaa!
Huoni hata huyo mwenye nazo anaziacha ?
aah... Sasa kwa kuwa anaziacha ndo hazina thamani? hapa bado utata
Imani dhaifu ! Hujaiva kiimani ujue ?
Hela kitu gani bhanaa!
Huoni hata huyo mwenye nazo anaziacha ?