Ungependa kitu gani kingine kipelekwe Chato?

Ungependa kitu gani kingine kipelekwe Chato?

Bhakhresa apeleke mtambo wa ice cream na mikate tutakuwa tunachua tunaweka waah
 
[emoji117]Mabus ya Mwendo kasi
[emoji117]Treni ya umeme
[emoji117]Mlimani city ihamishiwe pale
[emoji117]B.O.T ijengwe hapo
[emoji117]Ikulu kubwa zaidi ya chamwino ijengwe hapo
[emoji117]Chuo kikubwa cha Afya kijengwe hapo zaidi ya mloganzila
[emoji117]Wasafiri wanaokwenda Tabora,Kagera,kigoma,mbeya,songea,mwanza nk magari yote yawe yanapitia chato kabla ya kuendelea na safari hata kama utazunguka siku mbili.
[emoji117]Maghorofa ya maana kuliko Dar es salaam
[emoji117]Soko la madini lipelekwe hapo
[emoji117]Mbuga za wanyama zote zihamishiwe chato au kabla ya kuingia mbuga youote ya wanyama lazima utembelee Burigi
 
Ninapenda kwanza Kabsa Uwanja wa Taifa uwe Chato kisha Serikali ijenge chuo kikuu kikubwa duniani cha masuala ya ulozi na uchawi (tunataka wataalamu wetu wa ndani sio kutoka ulaya. Pia naona hata ziwa Tanganyika tulipeleke huko ili watalii wazidi kwenda kuingiza pato la taifa. Na mwisho Napenda Wanyama wote wa jamii ya Paka mfano Simba wahamishiwe huko [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Back
Top Bottom