Ungependa kukutana na hawa JF members?

Ungependa kukutana na hawa JF members?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?

Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?

Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe?

Screenshot_20240123-122713.png

====

Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia PM ya mtu yeyote. Unapokuwa PM angalia idadi ya watu waliopo (kwa kubonyeza nukta tatu upande wa kulia, chaguo la kwanza lilioandikwa "Participants") na kama mtu sio sehemu ya mjadala bofya Kick-out kumtoa.
 
Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?

Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?

Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe? View attachment 2880387
Kati ya hao wote huyo Bridger ndio nuksi sana. Anaongoza kwa kufuta threads za watu pamoja na comments. Alafu Cha ajabu hatoi sababu yoyote
 
Back
Top Bottom