Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Jay Efu sio salama kama unavyodhani!! Kuna member mmoja alikuja na madhaifu 27 ya JF akapigwa life banEbwana wee kumbe jamaa wana access za PM duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jay Efu sio salama kama unavyodhani!! Kuna member mmoja alikuja na madhaifu 27 ya JF akapigwa life banEbwana wee kumbe jamaa wana access za PM duuh
Kuna mamsapu nilitaka nimfuatwe PM nimegairishaKumbe ndo huyo? 😳😳
Pm anaangalia mnavyochatKwa hio jamaa anazamia PM kucheck comments
Yeah ndio huyoKumbe ndo huyo? 😳😳
Kama mimi hapa? 😅😅 kikawaida hata nje ya JF hatuna dhambi. 🤣Hivi wale wasio na ban ndiyo kama watakatifu wetu humu JF?
Nikupe mbinu ya kuwanyima umbea 🤣Kuna mamsapu nilitaka nimfuatwe PM nimegairisha
Hivi wanasoma?? Salaleee! 🤣🤣🤦🏻♀️Hawa jamaa wanatufaidi sana huko PM tunavyotongoza totoz za jf.
Anakera yani mtu uko busy kubebishana na baby wako chap kaingia aone tunavyodanganyana 🤣🤣🤣Yeah ndio huyo
Kipindi anaangalia pm Yako na baby wako, hapo hapo kwenye window nyingine anakuwa anaangalia pm ya baby wako na baby wake mwingine. Ndio maana kuna muda inaweza soma 4 onlineAnakera yani mtu uko busy kubebishana na baby wako chap kaingia aone tunavyodanganyana 🤣🤣🤣
Ila ww sasa unataka nizimie km Manara 🤣🤣🤣Kipindi anaangalia pm Yako na baby wako, hapo hapo kwenye window nyingine anakuwa anaangalia pm ya baby wako na baby wake mwingine. Ndio maana kuna muda inaweza soma 4 online
Pole chaliiHawa jamaa walinipa banned ya uonevu halafu niliyekuwa na bishana nae yeye akaachwa Kila nikikumbuka nalia sana aiseee
Asante sema walizingua sana yaani sana walimpendelea yule mwenginePole chalii
Potezea huwezi kuwafanya kitu wao wameshika mpini broAsante sema walizingua sana yaani sana walimpendelea yule mwengine
Kuna namna siwaelewi, unakuta mpo wawili mnachat mara kitufe kinaonyesha "online 3", sasa unajiuliza huyu wa tatu ni nani.Hivi wanasoma?? Salaleee! 🤣🤣🤦🏻♀️