Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia PM ya mtu yeyote. Unapokuwa PM angalia idadi ya watu waliopo (kwa kubonyeza nukta tatu upande wa kulia, chaguo la kwanza lilioandikwa "Participants") na kama mtu sio sehemu ya mjadala bofya Kick-out kumtoa.
Pole sana mkuu 😁😁😁Sina haja ya kukutana nao hao baadhi yao wana tabia mbaya sana ya kuingilia PM za watu. Ushauri kwa Maxence Melo na JamiiForums waboreshe eneo la PM hawa Mods wasiwe na access ya kuingia kabisa
Tawile 🤝Sina haja ya kukutana nao hao baadhi yao wana tabia mbaya sana ya kuingilia PM za watu. Ushauri kwa Maxence Melo na JamiiForums waboreshe eneo la PM hawa Mods wasiwe na access ya kuingia kabisa
Naunga mkono hoja waweke na voice note 🤣Video call iongezwe
Nina miaka 14 humu sijawahi pigwa BAN 😂😂😂Tawile 🤝
Kwahiyo unataka wakupe?! 🤣🤣🤣Nina miaka 14 humu sijawahi pigwa BAN 😂😂😂
Kati ya hao wote huyo Bridger ndio nuksi sana. Anaongoza kwa kufuta threads za watu pamoja na comments. Alafu Cha ajabu hatoi sababu yoyoteYupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?
Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?
Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe? View attachment 2880387
Ebwana wee kumbe jamaa wana access za PM duuhSina haja ya kukutana nao hao baadhi yao wana tabia mbaya sana ya kuingilia PM za watu. Ushauri kwa Maxence Melo na JamiiForums waboreshe eneo la PM hawa Mods wasiwe na access ya kuingia kabisa
Mtu aweze kurekebisha title ya threadYupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?
Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?
Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe? View attachment 2880387