Ungependa nani awe Kocha wa Manchester United endapo Ten Hag akiachishwa kazi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Man Utd chini ya ten Hag.

Style of play hakuna, team's identity hakuna, the drive and force ya wachezaji hakuna.

Ni jembe yupi ungependa achukue usukani pale Man Utd.
 
Julio....
 
Morinho ana uwezo mkubwa wa kuirudisha timu barabarani!! Alifanya hivyo kwa Real Madrid wakati timu ilikuwa imepotea kabisa!!
 
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Man Utd chini ya ten Hag.

Style of play hakuna, team's identity hakuna, the drive and force ya wachezaji hakuna.

Ni jembe yupi ungependa achukue usukani pale Man Utd.
Julio
 
KOSA alilifanya Alex Ferguson ,

Wakati Ferg anaondoka Callingtone Pep Guadiola HAKUWA na timu.

ALIKWENDA likizo ya Mwaka mmoja.
FERGASON alipaswa amuachie mikoba pep Guadiola
 
Pep hakuwa tayari nasikia
 
Back
Top Bottom