Ungependa nani awe Kocha wa Manchester United endapo Ten Hag akiachishwa kazi?

Ungependa nani awe Kocha wa Manchester United endapo Ten Hag akiachishwa kazi?

KOSA alilifanya Alex Ferguson ,

Wakati Ferg anaondoka Callingtone Pep Guadiola HAKUWA na timu.

ALIKWENDA likizo ya Mwaka mmoja.
FERGASON alipaswa amuachie mikoba pep Guadiola
Gadiora na klopp walikataa ndipo timu akapewa moyes
 
Gadiora na klopp walikataa ndipo timu akapewa moyes
Hapana, Pep hakupewa ofa ya utd,
Hata Fergie hakumwambia kuhusu hilo, Pep mwenyewe anasema kama Fergie alimuomba akakae Utd bas yeye haelewi English mana hakusikia hilo,

Fergie alichagua tu mtu wa taifa lake
 
Back
Top Bottom