Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 24,893 Reaction score 47,768 Sep 22, 2023 #21 Wampe kocha wa Newcastle Edward John Frank Howe
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Sep 22, 2023 #22 CAPO DELGADO said: KOSA alilifanya Alex Ferguson , Wakati Ferg anaondoka Callingtone Pep Guadiola HAKUWA na timu. ALIKWENDA likizo ya Mwaka mmoja. FERGASON alipaswa amuachie mikoba pep Guadiola Click to expand... Gadiora na klopp walikataa ndipo timu akapewa moyes
CAPO DELGADO said: KOSA alilifanya Alex Ferguson , Wakati Ferg anaondoka Callingtone Pep Guadiola HAKUWA na timu. ALIKWENDA likizo ya Mwaka mmoja. FERGASON alipaswa amuachie mikoba pep Guadiola Click to expand... Gadiora na klopp walikataa ndipo timu akapewa moyes
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,620 Reaction score 5,515 Sep 22, 2023 #23 Miguel Gamond
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Sep 22, 2023 #24 Natafuta Ajira said: Gadiora na klopp walikataa ndipo timu akapewa moyes Click to expand... Hapana, Pep hakupewa ofa ya utd, Hata Fergie hakumwambia kuhusu hilo, Pep mwenyewe anasema kama Fergie alimuomba akakae Utd bas yeye haelewi English mana hakusikia hilo, Fergie alichagua tu mtu wa taifa lake
Natafuta Ajira said: Gadiora na klopp walikataa ndipo timu akapewa moyes Click to expand... Hapana, Pep hakupewa ofa ya utd, Hata Fergie hakumwambia kuhusu hilo, Pep mwenyewe anasema kama Fergie alimuomba akakae Utd bas yeye haelewi English mana hakusikia hilo, Fergie alichagua tu mtu wa taifa lake