Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
When a tongue speak ahead of mind !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji1]Kipindu X2
Hapana nataka gonjwa lenye mateso..nitaabike kidogoBora hata presha[emoji16] [emoji16]
Hizi ndio hoja za maana, ebu naomba niunge mkono hoja......Kama ulevi ni ugonjwa basi siku zangu za mwisho naomba niondoke nikiwa chakari kwenye kiti kirefu nikiwa kaunta
Au ule ulitisha kuliko kansaHuo n.k
Kama ulevi ni ugonjwa basi siku zangu za mwisho naomba niondoke nikiwa chakari kwenye kiti kirefu nikiwa kaunta
Duuh!!Kama ulevi ni ugonjwa basi siku zangu za mwisho naomba niondoke nikiwa chakari kwenye kiti kirefu nikiwa kaunta
UkimwiHapana nataka gonjwa lenye mateso..nitaabike kidogo
Usishangae sana mkuu " its when a tongue speak ahead of mind" !!!.Mungu awasamehe
Ewaaaaa hapo baadae unasuuza mdomo na bia nne swafiiHizi ndio hoja za maana, ebu naomba niunge mkono hoja......
Weitaaa, ongeza Nyagi kubwa tafadhali....
Hamnaga hicho kitu...hizo ni stor tu hamnaga ukimwi,Ukimwi
Eh haya nichagulie mwenyeweHamnaga hicho kitu...hizo ni stor tu hamnaga ukimwi,