Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

Nyie mnaochagua watatu, wanne na kuendelea mnataka mjimilikishe halafu sie tuwapate kina nani? Au ndo mnataka kutupa option ya kina cameron?

si ndo hapo sasa...!!! kwanza muuliza swali kauliza kwa umoja ''mdada'' na si wadada ebo!!!!!
 
Hapo mwake,japo beibe nasty ni shost wangu,ila kwa baridi hili Junior. Cux,tutagombana.
Me nina ujotoooo....!!!huo balaa.
Nakuagizia dereva wangu akufate Junior. Cux

ata usiangaike laaziz nshafika mlangoni we fanya kufungua mlango tu ila ilo joto liwe la kwako kwel co unpeleke kukaa jikon.. Cg kansusia eti.!!!
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnaochagua watatu, wanne na kuendelea mnataka mjimilikishe halafu sie tuwapate kina nani? Au ndo mnataka kutupa option ya kina cameron?

inabidi ubadili dini ili ufaidi 4 in 1. Wengine tumetaja wengi kupoteza maboya lakini anaye hitajika ni mmoja tu naye anajijua.
 
Junior. Cux we c umesema una wako,
kumbuka "kizuri kula na nduguyo..."!!

taratibu basi,maana utaaribu biashara ambayo nimeianza na Jc kuhusu wewe.nataka uje kwangu mi mzee sintokuchosha,kwanza kabla ya mechi tunasali ili tusije kugandana
 
Last edited by a moderator:
mkuu unaonaje tuonge biashara uniuzie madameB,Japo na mie nipate kitoto kidogo.maana gari bovu haliwezi vuta lyenzie,naitaji gari la kunivuta madameB atanifaa.

ah hapo itakua ngumu mkuu, we chagua jf nzima but madame B wangu niachie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…