Ungependa ufukuze baridi hii na nani hapa JF?

Ruhazwe JR, Uache mto we njoo tu,
nanilii amesafiri kwa mkewe.
Ukifika ni-beep.

mpaka navaibrate,brriiiiii,yaani mpaka hapa nshaanza kutoa jasho nachagua nguo wakati huu nilisha ita bajaj ijeinichukue,maana si unajua bahati uja mara moja
 
Last edited by a moderator:
laazizi Junior. Cux,niache nikamchune hela tuje kufaidi wote.
Au we hujui michezo ya mjini?
Au unaogopa atanogewa?

umejuaje kama ninamafedha?maana akaunt yangu nimetega karibia na akaut za akina riz-one huwa zikijaa zinaangukia kwenye akaunti yangu
 
Last edited by a moderator:
kweli Ruhazwe JR?
Basi ucfunge mlango,uegeshe nikija naingia nao. Junior. Cux yupo kuleee...!! anakula bata.

nakaribia kufika hivyo.alafu Junior mpaka anaenda kula bata anajiamini nin?...angalia tusije nata!au tufanye vya cameron ndio hatutanata?maana hapa nilipo jamaa kakujua miguu anataka kuruka
 
Last edited by a moderator:
Duu mpaka mida hii hakija eleweka kabisaaa sijui MWALI ndio kanitosaa au kunakidume kisha mnyakua.

Tafadhali jaman tusije fanyiana kitu mbaya bureee.

uuwapi MWALI plz jaman chaguo langu sandakarawe leo imekudondokea wewe naumbo ujongee karibu yangu baridi litaniua jaman.??
 
Mimi ningetoka na mzee kuliko wote sasa sijui ni nani. manake hawa ndo wanaskia baridi zaid kuliko vijana. kama yupo anitonye. but lazim uwe mzee siyo kijana. Masharti na vigezo kuzingatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…