Mimi ningetoka na mzee kuliko wote sasa sijui ni nani. manake hawa ndo wanaskia baridi zaid kuliko vijana. kama yupo anitonye. but lazim uwe mzee siyo kijana. Masharti na vigezo kuzingatiwa.
Hahahaha Kongosho bana. naikumbuka ile andawea yako ya njano ya kufunga kwa kamba.....
Hivi gfsonwin mpaka leo hujajua hapa JF anayenifuata kwa umri ni babu mwenzangu retired Major Dark City ?Mimi ningetoka na mzee kuliko wote sasa sijui ni nani. manake hawa ndo wanaskia baridi zaid kuliko vijana. kama yupo anitonye. but lazim uwe mzee siyo kijana. Masharti na vigezo kuzingatiwa.
Wadau kutokana na haka kajimsimu kaubaridi maeneo mengi ya tanzania hususan hapa dar.
Kama ungepewa nafasi ya kutoka na mtu hapa jf ungemchagua nani??
Mim ningependa kuchomoka na mdada 1 anaitwa MWALI ili tuikemee na kuifukuza hii barid wewe je??
Uljuaje kama namimi nataka kutaja afrodenzi , hehehe acha nibuki gesti, napokea mkwanja next week honey, ukuje na hela ya soda isaidie saidie nitakulejeshea nikishakupokea .klorokwini au uporoto pamoja na ile dawa nyingine chungu..
siwezi kumtaja inawezekana ana mtu tayari.....ambaye yuko free ajitaje basi nitoke naye
Very biased question. Mbona hujaweka altenative kwa wadada wa humu kuwa wao wangependa kutoka na mkaka yupi?
Jamani kutoka sio lazima kuwe engineered na kuwa financed na mwanaume tu, ninawajua wadada kadha wa hapa jf ambao wanazungusha raundi kadha hata kwa meza ya wakaka10!
napita tu
napita tu
...yani ukikamatika...mie simo!!njoo pande hizi harakisha