Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Usingizi ni afya.Sana asee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usingizi ni afya.Sana asee!
Kwakweli.Sana tu, usipopata usingizi vizuri hata mood ya siku inakuwa mbaya.
Yapunguzwe tuYapunguzwe tena joanah? Unaonekana una nafasi sana, sipati picha yapunguzwe vile watu wanakimbizana na muda.
Lina maana gani?Asante joanah.
Ningechapa usingiziWengi wetu tuna shughuli nyingi za kufanya katika siku na masaa 24 yanaweza yasitoshe kufanya shughuli zetu zote. Je ukapewa masaa 3 ya ziada kwa siku, utayafanyia nini?
Sasa umemaindi au?Usipende kumuongelea mtu ambaye humjui.
Muda mwingine kuwa na heshima, hatulingani hata kidogo sawa,
Jaribu kuheshimu watu na kuwa na busara usiwe roporopo.