Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Jamaa kafungua mgahawa na unaenda poaIla usijaribu kuingia biashara ya masoko ya vyakula au kufungua hotel utachomeka uteketee
Hiyo biashara itoe hapa.Kweli Kama uko serious njoo dm tuongee nikupe hiahsra ya kufanya utanishukuru ndanj ya mwezi mmoja hyo pesa Ni ndefu San
Mm nakupa biasha kila siku unaweza kuingiza laki faida kwa mtaji mmodg hyo 12 Ni ndefu sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu wa dizaini yako wanatafutwa sana na taasisi mbali mbali za fedha kwa ajili ya kupewa mikopoNingeboresha Biashara Yangu Kukuza Brand Na Kuongeza Mabranch Sina Kingine Cha Kufanyia Zaid Ya Kusubir Faida Nipanue Wigo Wa Biashara
Hujaelewa qlichokiongeaNilipoona umeandika ajira ni bora zaidi ya biashara nimekushangaa sana.
Unamaanisha hizi ajira za mishahara ya 585,000 na 765,000 au 1.3m hadi 3.3m ni bora?
Akili kama hizi kutoboa ni ndoto
Ningenunua SOLANA.Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto.
Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila ajira ndio wamejaa watu dhaifu zaidi, kwanini nimesema hivyo?
Kusoma kuajiriwa na kulipwa mshahara hakuna maajabu zaidi maana unauza ujuzi unabadilishana na pesa, kwahiyo pesa zinaflow tu bila hata ya kuumiza kichwa, pesa za wizi, n.k lakini biashara unaweza umiza kichwa mara kumi na usitoboe.
Brother wangu, anataka kunikopa mtaji wa million 12 na kanipa miezi 6 ya kupambana, baada ya miezi sita ikishapita inabidi kila mwezi nimtumie laki 5 mpaka hela yake yote itimie.
Sasa hizi hela za ndugu ni za lawama aisee na sitaki kumdissapoint kabisa, Dar es Salaam siwezi enda maana niliingia kichwa kichwa nikapigwa za uso nikatoka nduki sitaki kurudi tena.
Nipo Kigoma maeneo ya Kasulu hapa, kichwa kinawaka moto kweli, nawaza niingie vijijini nikanunue maharage nikaweke stoo, lakini naona kama risk ni kubwa na faida kidogo, nikawaza niende Mpanda huko wakati wa mavuno ya mpunga nikatupie hela huko wakati naendelea kuwaza niifanyie nini.
Hivi wazee ungekuwa wewe umepewa hiyo hela ungeitumbukiza sehemu gani ikupe faida?.
Umenena vyema mkuuYes, knowledge ndo kila kitu kwenye biashara na mentors wazuri mzee. Maana kuna muda market haieleweki ila kama una mentor mzuri anakuokoa kabisa una clear stock kwa wakati. Ufugaji unalipa sana yaani, ingekuwa anakupa free hizo 12M ni zako, hakuna cha marejesho, ningekwambia ufuge na broilers na kuku wa mayai layers. Utajiri nje nje mwanangu. Anyways, soma maoni ya wadau alafu utaona mwenyewe where to invest yourself. Ukumbuke tu kwamba hakuna biashara ambayo haina hasara, uvumilivu na juhudi ku minimize vitu vinavyokutia hasara ndo key to success.
Unauzoefu kwenye mifugo gani mkuu..? Mifugo ipi ambayo haitumii gharama kubwa za uendeshaji?Yes, knowledge ndo kila kitu kwenye biashara na mentors wazuri mzee. Maana kuna muda market haieleweki ila kama una mentor mzuri anakuokoa kabisa una clear stock kwa wakati. Ufugaji unalipa sana yaani, ingekuwa anakupa free hizo 12M ni zako, hakuna cha marejesho, ningekwambia ufuge na broilers na kuku wa mayai layers. Utajiri nje nje mwanangu. Anyways, soma maoni ya wadau alafu utaona mwenyewe where to invest yourself. Ukumbuke tu kwamba hakuna biashara ambayo haina hasara, uvumilivu na juhudi ku minimize vitu vinavyokutia hasara ndo key to success.
Me mfugaji mkubwa sana wa Kuku, Mbuzi na Pigs.Unauzoefu kwenye mifugo gani mkuu..? Mifugo ipi ambayo haitumii gharama kubwa za uendeshaji?
Eb nipe idea ya hii biashara ndugu nipo tayari kupata mawili matatuKwa hio hela yako tununulie tu Dakawa Morogoro kuepusha gharama kubwa za usafiri, Mbuzi kama 70 hivi za 50-65, hio hela ita double chap kwa haraka.
Me nakushauri, wewe kaa kwanza na hela yako, uje uwe kama saidia mtu anayefanya hizo biashara kwa gharama zako kwa muda wa hata miezi miwili, then ndo uanze.
Kuna vitu unatakiwa ujifunze kwanza kabla hujaanza kufanya, mathalani uchaguzi wa mbuzi mzuri na bei zake uzijue kulingana na ukubwa wa mbuzi.
Ningenunua SOLANA.
SOLANA ni sarafu ya kidigitali ambayo unaweza kununua sasa na kuuza baadae ikifika thaman unayotaka wewe. Kwa sasa SOL inauzwa $140. Kwa sasa ni sarafu ya moto sana na yenye thamani zaidi ambayo ukinunua uwezi juta.Naomba elimu zaidi kuhusu SOLANA tafadhali.