bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 667
- 1,850
h h hNingeanzisha kampeni ya kuondoa BAN......post zisizo na maudhui mazuri ziwe zinafutwa tu.
Unapompiga BAN mtu mwenye ID 10+ ni sawa na kukojolea Mbingu, lazima mkojo ukurudie.
[emoji23]ningeanza na moderators wote halafu nikimaliza naipiga ban hiyo BAN
Ulikuwa hujui...
lizaboni ni mdada?Aisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli wadada hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251
h h hKwanza tuanze na wewe je,ni Bikira kweli au unazingua ............ Maana kama unaongopa basi ningeanza na wewe.
Ningeanza na mleta uzi huuAisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli wadada hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251
Unajua maana ya IP ban lakini?Ningeanzisha kampeni ya kuondoa BAN......post zisizo na maudhui mazuri ziwe zinafutwa tu.
Unapompiga BAN mtu mwenye ID 10+ ni sawa na kukojolea Mbingu, lazima mkojo ukurudie.
Ina waathiri hata wenye Device zaidi ya moja?Unajua maana ya IP ban lakini?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Lizaboni ningempa life bun
pia nilijuaga ni "meWanaomjua wanasema ni "ke"
Aisee mimi ningeanza na hawa
1.Monnica
2.Ladyj
3.Lizaboni
Wana wivu kweli wadada hawa[emoji2] [emoji2]
Je wewe ungeanza na nani?
View attachment 429251
Taasisi ya wapi...Heheheeh we lizaboni ni taasisi umejuaje kama ni ke?