Natamani ili katiba ipite tu tuwe na serekali tatu. Muda sio mrefu Zenj watasema wanakaa kivyao, na wataonja joto ya jiwe. Wakirudi, tutakuwa na uwezo wa kuwathibiti. Ndipo tutakuwa serekali moja tu na mkoa wa Zenj tena mmoja tu wenye wilaya 3. Pemba, Unguja na Kilwa. Itapendeza sana kuliko hii danganya toto