Ungetamani katiba mpya ijayo tuwe na serikali ngapi?

Ungetamani katiba mpya ijayo tuwe na serikali ngapi?

Umgetamani katiba mpya ijayo iwe na seikali ngapi?

  • Moja

    Votes: 3 33.3%
  • Mbili

    Votes: 0 0.0%
  • Tatu

    Votes: 6 66.7%

  • Total voters
    9

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,153
Reaction score
809
A.erikali Moja (yaani serikali ya Tanzania. Hapa hakuna cha Zanzibar wala Taganyika)

B.Serikali Mbili ( Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuli ya Muungano ya Tanzania; Hapa Tanganyika inakuwa imepotea. Usiniulize Tanganyika imepotele wapi?)>

3. Serikali Tatu ( Yaani Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano).
 
Me naona kila mtu angekua na serikali yake
 
Mimi kwangu natamani serikali moja tu. Wakati dunia inawaza kuwa na rais mmoja, wakati Afrika ikiwaza kuwa na rais mmoja, wakati afrika mashariki ikiwaza kuwa na rais mmoja, SISI TUNAWAZA KUWA NA MARAISI WATATU? AIBU SANA.

Tayari nimepiga kura yangu hapo juu.
 
Zianze tatu, alafu baada ya hapo kila nchi ijitawale kivyake. Sioni umuhimu wa serikali ya muungano...
 
Napenda kuwe na serikali moja ya tu na amri jeshi mkuu mmoja tu lakini kwasababu ya jeuri ya wazanzibar ambo visiwa vyao vitazama hivi karibuni acha tu ziwe tatu tupate yetu ya tanganyika tuwafukuze uku kwetu..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Natamani ili katiba ipite tu tuwe na serekali tatu. Muda sio mrefu Zenj watasema wanakaa kivyao, na wataonja joto ya jiwe. Wakirudi, tutakuwa na uwezo wa kuwathibiti. Ndipo tutakuwa serekali moja tu na mkoa wa Zenj tena mmoja tu wenye wilaya 3. Pemba, Unguja na Kilwa. Itapendeza sana kuliko hii danganya toto
 
Back
Top Bottom