Sure, maana biashara bongo ni inclusive na huru, maana yake kila mmoja ana haki ya kupambania mteja kwa njia yoyote ila ilio hakiMi ningechukua 50 zangu maana kama wanaamini riziki anapanga mola wala hawana sababu ya kuwa na migogoro
Elaborate pleaseShusha bei ya wese.
Sasa mi najiuliza dala dala wanalia eti wanachukuliwa wateja, ila mbona kwenye dala dala mara nyingi tunabanana na kupigania meaning zina watu kibao.Ningetumia falsafa ya current RC DSM kipindi akiwa Mbeya kuhusu makelele ya makanisani na baa usiku alisema "kila mtu afanye kile anachoona bora ila mwisho wa siku mmoja atamshawishi mwenzake kumfuata" km wote wanafanya biashara kihalali waruhusiwe japo vibajaji vitakuwa na foleni sana coz vitakuwa vingi balaa.
Labda ni roho mbaya, maana dala dala zenyewe watu huwa wengi hadi wanapitia dirishaniHao jamaa wa daladala akili zao kisoda, sasa kama bajaji zinalipa kuliko daladala kwanini wasihamie kwenye bajaji? Kwan wao walizaliwa wafanye biashara ya daladala tu? Kama wateja hamna waache kabisa wafanye kazi nyingine!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mda mwingime rizki inafaa uchukue kwanguvu si ad upewe imagine mtu wa dala dala analipa mapato,bima,latra,stika ya nenda kwa usalama na ana ukomo wa njia ufananishie na mtu halipii chochote na anaweza enda popote anapotaka yeye yani hana mwisho wa ruti na leseni ya udereva pia hana alafu useme rizki anatoa munguMi ningechukua 50 zangu maana kama wanaamini riziki anapanga mola wala hawana sababu ya kuwa na migogoro
Kuna route Dom ya Town - Kikuyu kulikuwa kuna mgogoro wa hivyo,baadae wenye bajaji waliomba route hiyo,kwa sasa hakuna tena daladala ktk route hiyo.Sasa mi najiuliza dala dala wanalia eti wanachukuliwa wateja, ila mbona kwenye dala dala mara nyingi tunabanana na kupigania meaning zina watu kibao.
Au ni roho mbaya tu za dala dala.
Meaning that, serikali ina wajibu wa kuwapunguzia mzigo wa malipo kwa hawa dala dala ili hizi hasira wasihamishie katika migomo wakipinga bajaj.Mda mwingime rizki inafaa uchukue kwanguvu si ad upewe imagine mtu wa dala dala analipa mapato,bima,latra,stika ya nenda kwa usalama na ana ukomo wa njia ufananishie na mtu halipii chochote na anaweza enda popote anapotaka yeye yani hana mwisho wa ruti na leseni ya udereva pia hana alafu useme rizki anatoa mungu
Sasa kama wanajua hayo kuna haja gani wa kulumbana kila mtu acheze mechi zake kikubwa watoto wapishane chooniMda mwingime rizki inafaa uchukue kwanguvu si ad upewe imagine mtu wa dala dala analipa mapato,bima,latra,stika ya nenda kwa usalama na ana ukomo wa njia ufananishie na mtu halipii chochote na anaweza enda popote anapotaka yeye yani hana mwisho wa ruti na leseni ya udereva pia hana alafu useme rizki anatoa mungu
Hapa ni bajaji zisajiliwe na ziwe na ukomo wa ruti sio wanaenda tu kila mahali kama bodabodqMeaning that, serikali ina wajibu wa kuwapunguzia mzigo wa malipo kwa hawa dala dala ili hizi hasira wasihamishie katika migomo wakipinga bajaj.
HahahaWacha nguvu ya soko iamue.
Hii ni perfect competition market structure.
In a perfect competition, inefficient producers are weeded out by efficient producers.
As u can learn in a pefect competition there is free entry and exit. Anayeshindwa biadhara anatolewa na anayeweza biadhara.
View attachment 2718130