MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
wewe hamtawezana na miss natafuta !ww unatakiwa upate mwanamke mpole kwasabb ww ni comedian!muda wote unachekesha!Ntamletaje wakati nimemuacha? Labda nilete Miss Natafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe hamtawezana na miss natafuta !ww unatakiwa upate mwanamke mpole kwasabb ww ni comedian!muda wote unachekesha!Ntamletaje wakati nimemuacha? Labda nilete Miss Natafuta
hhahhha makubwa hayaSisi Spanish omelet, tutapikiwaje kwenye vyungu? Sisi tunapikika frying pan moja
Jamani nimeanza lini kuchekesha? Dokta ndio mchekeshaji wakowewe hamtawezana na miss natafuta !ww unatakiwa upate mwanamke mpole kwasabb ww ni comedian!muda wote unachekesha!
hahaha hebu uje unipe namba yake!ww mlikua mnanichekesha sana jaman enzi zile !ila mlikuwa magineus sanaJamani nimeanza lini kuchekesha? Dokta ndio mchekeshaji wako
Hatujawahi kuwa mazuzumagic.hahaha hebu uje unipe namba yake!ww mlikua mnanichekesha sana jaman enzi zile !ila mlikuwa magineus sana
0716741890hahaha hebu uje unipe namba yake!ww mlikua mnanichekesha sana jaman enzi zile !ila mlikuwa magineus sana
seen!AMEWOWA?0716741890
anatafuta mchumba badoseen!AMEWOWA?
kanipata!lolanatafuta mchumba bado
bujibuji!mm nilikufaham toka wakati ule una akili sana sana!sema umezidi ukomed tu! ww sio mwenzetu ht kdgHatujawahi kuwa mazuzumagic.
Kuna mdada Aliomba nizae nae ili apate mtoto Bora.
Rur rur rur ruuuuuuuuuuuuu.kanipata!lol
Dr atafurahi sana ukimpigiabujibuji!mm nilikufaham toka wakati ule una akili sana sana!sema umezidi ukomed tu! ww sio mwenzetu ht kdg
hahaha ntamchek!sema hawez nikumbuka!anywys!Dr atafurahi sana ukimpigia
Hiyo stori umeitafsiri usije ukajifanya ni utunzi wakoBibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4. Wakalala, Walipoamka, mfanyakazi wa Hotel akawatoza Tsh. 500,000/=
Wale wazee wakashangaa hata kama ni hotel ya kisasa lakini sio laki tano kwa masaa 4.
Babu akagoma kulipa akasema aitiwe meneja.
Meneja akaja kuwasikiliza
Babu: " Kwanini bili ni kubwa hata kama ni hotel ya kisasa?"
Manager;"kuna maswiming puli, ya kisasa "
Babu; "Lakini hatukuyatumia"
Manager; "Ah ah ah. Lakini mungeweza kama mngetaka"
Babu: "Hata hivo bado haithamini kuwa laki 5"
meneja: "Pia Kuna waimbaji kutoka sauzi, Uganda , Congo"
Babu: "Lakini sisi hatukuwasikiliza"
Meneja: "Ndiooo. Lakini mngeweza kama mngetaka"
Babu; aka give up na kumwambia mkewe andika cheki uwape,,
Bibi akaandika akampa meneja.
Meneja anaangalia anaona sh. 50,000
Akashangaa na kusema. "VP mbona hamsini'"
Bibi akajibu "450,000 ya kulala na mimi"
Meneja akajibu; "Lakini sijalala"
Bibi :"ungeweza kama ungetaka"
nilikuwa naongea nae muda si mrefu nimwemwambia unamtafuta, anasubiri kwa hamu simu yakohahaha ntamchek!sema hawez nikumbuka!anywys!
nilikuwa naongea nae muda si mrefu nimwemwambia unamtafuta, anasubiri kwa hamu simu yako
Ni kweli nimeitafsiri kutoka kwenye lugha ya Esperanto, wewe unaijua?Hiyo stori umeitafsiri usije ukajifanya ni utunzi wako