Wanao jadili kuondolewa kwa viboko watoto wao wansoma mitaala ya Cambridge,,,,,sasa jichanganye udandie mtumbwi wa vibwengoWakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni...
Viboko havina faida.Wakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni...
Samahan, we umesoma primary school au shule ya msingi?Viboko havina faida.
Kwani thathmini ambayo niliifanyaga niligundua kwamba wanafunzi wanaofanya vizuri darasani sio wale wanaopigwa sana viboko na kuwa watukutu,bali wanafunzi wanaofanya vizuri darasani huwa hawana historia mbovu ya kuwa kwemye mkumbo wa wanaochapwa...
Nimesoma shule ya msingi ya kata.Samahan,,,we umesoma primary school au shule ya msingi?
Kwasisi,,,,tulio soma shule ya msingi "mwalimu mpole Huwa hapendwi na wanafunzi"Nimesoma shule ya msingi ya kata.
Nimesoma shule ya sekondari ya kata.
Na shule zote hizo zilikuwa na viboko.
Binafsi nimeshapigwa sana viboko ila sikuona msaada wake zaidi ya kunizidishia uwoga darasani na kuninyima uelewa wa kile ninachofundishwa.
Sijaelewa umeandika nini mkuu unaweza kuondoa hizo alama kadhaa ili nipate idea ya nini umekusudia mkuu ?Kwasisi,,,,tulio soma shule ya msingi "mwalimu mpole Huwa hapendwi na wanafunzi"
Kabisa yani.Viboko ni adhabu ya kitumwa.
Nature ya kimazingira na saikolojia ya wanafunzi Huwa hawawapend walimu wapoleSijaelewa umeandika nini mkuu unaweza kuondoa hizo alama kadhaa ili nipate idea ya nini umekusudia mkuu ?
Kwa maana hiyo bila kupigwa usingebadirika?Nikiwa la tano mwaka 92..nilikamatwa navuta sports kichochoroni...shule sijaonekana miezi mbili na napambana niiache kabisa..aisee nilipigwa kama mmbwa mwizi... nilichangiwa na ofisi yote..
Kuna buku niliiba ya mia mbili mia mbili zile za noti kubwa (mia mbili za noti zilikua za aina mbili ndogo na kubwa) aisee acheni nilipigwa na maza kakaa pembeni wakichoka ananikamata...!
Nilibadilika mno aisee..
Hahah pole mkisiMimi nilikua mpole sana sijui kwanini walikua wananiazibu kwanguvu namna ile... ila dogo yeye mkorofi lakini hata kugombezwa hakuwa anagombezwa