Ungeweza kufikia hapo ulipo bila kuchapwa fimbo?

Ungeweza kufikia hapo ulipo bila kuchapwa fimbo?

Nature ya kimazingira na saikolojia ya wanafunzi Huwa hawawapend walimu wapole
Sio kweli mkuu kutokana na ushahidi wangu mimi mwenyewe ambaye nilikuwa siwakubali waalimu wanaochapa fimbo.

Nilikuwa nawakubali waalimu ambao hawachapi fimbo na ni wapole na mimi nilikuwa mwanafunzi.

Hivyo hoja yako naitupilia mbali kwa sababu haina uhalisia wowote mkuu
 
Sijabahatika kuchapwa kihivyo.. mimi bado ni yule mtoto ukienda kumwambia mama yangu kuwa umeniona bar, sijui club, sijui umeniona nafanya lipi baya hatokuelewa kabisa.
Binafsi najua kufinyaa
Kuchapa hapana..
 
Kuna wakati huwa natamani ndugu yangu angenicharaza viboko hata 12 kwa kosa nililofanya ila yeye akaishia kunionya kwa maneno matupu na mifano mingi ambayo hata sikuitilia maanani matokeo yake nikarudia kosa lile lile na kujikuta mahala hatarishi zaidi.

Viboko ni muhimu kwa sisi wa chini ya Jangwa la Sahara.
 
Kwa culture na tamaduni zetu viboko ni muhimu. Vinasaidia sana kumshepu mtoto, na kujenga heshima kwa wakubwa. Na kuwa na utiifu ambayo humsaidia kufikia malengo yake baadae, angalia mtoto aliekulia maisha ya kudekezwa na bila viboko walivyo na dharau kujiona. Hawa ndo wale ukubwani hawatakuwa na misingi bora ya heshima na nidhamu kwenye vitu wavifanyavyo.
 
Viboko kwa waafrica ni shortcut ya malezi kwa sababu wazazi wengi wako busy na shughuli za kutafuta kipato. Hawana muda wa kukaa na watoto wao na kuwapa malezi bora.
 
Kwa culture na tamaduni zetu viboko ni muhimu. Vinasaidia sana kumshepu mtoto, na kujenga heshima kwa wakubwa. Na kuwa na utiifu ambayo humsaidia kufikia malengo yake baadae, angalia mtoto aliekulia maisha ya kudekezwa na bila viboko walivyo na dharau kujiona. Hawa ndo wale ukubwani hawatakuwa na misingi bora ya heshima na nidhamu kwenye vitu wavifanyavyo.
Cha ajabu sasa hawa watoto waliolelewa kwa viboko ndio hawa hawa mafisadi walioko serikalini hawana maadili pia ni wezi, waongo, na sio waaminifu na hawana nidhamu ya maisha.

Wahindi hawana desturi ya kuchapa watoto wao lakini watoto wana nidhamu ya hali ya juu.

Binafsi mi naonaga malezi kwa kutumia fimbo huwa yanazaa nidhamu ya uoga na sio nidhamu kama nidhamu
 
Kufuga unatumia viboko
Kulea unatumia AKILI na HEKIMA

Katika parenting hakuna sehemu IPO recommended kutumia VIBOKO.
Sahihi mkuu.

Nimekuwa nikijifanya tafiti nsmna ninavyowalea wanangu na namna watu wengine wanavyowalea watoto wao.

Nikaja kugundua kwamba wanaowachapa watoto wao kwa makosa fulani bado wale watoto huyarudia makosa ijapokuwa wanachapwa.

Na mwanangu kama mtoto huyarudia makosa yale jaokuwa mimi simchapi bakosa ila huwa anaacha taratibu.

Nikawa najiuliza kwa nini niumize mwili wa mwanangu kwa kumkataza kitu ambacho hata wale wanaopigwa wanaendelea kukifanya ?

Nikagundua kwamba viboko sio suluhisho bali ni hekima na ku WAWIN WATOTO THE WAY THEY THINK AND NOT THE WAY WE THINK AS A PARENTS.

Mfano mzuri sana huwa napenda kuutumia kwa mwanangu ambaye huwa akiumwa kifua namsagia tangawizi ila sasa ili anywe basi mimi hujifanya ninainywa ile tangawizi huku nikisema hii juisi ya tangawizi ni tamu saana eeee huku nikiwa nagugumia ule upilipili wake.

Mwanangu kwa shauku yake wala sigombani nae basi anakuja nae husema anataka ile juisi na huinywa huku naye akirudia maneno ninayoyasema mimi na anakuwa amekunywa bila nguvu.

Mwanangu huwa anapenda sana kutembea ila huwa hapendi kula,ninachokifanya namuambia kwamba kula upate nguvu ili tukatembee,anakula bila shida na maisha yanaendelea.

Endao wazazi tutawalea watoto kwa kuwaza kama wanavyowaza wao basi tutaanza kuona mabadiliko.
 
You a good parent ever.
God bless you.

Nakuona ukiandaa kizazi bora Sana hapo baadae.

una uwezo mkubwa Sana Wa ufahamu.
 
Safi sana
 
nakumbuka tulimnunuliaga mwalimu pombe ili asituchalaze viboko na jamaa angu kipind icho mwisho wa siku tulichalazwa na pombe akapita naxo yule teacher alikuwa noma ukisikia unakisanga nae unaweza omba ufe 😂
 
Wakuu kwema?

JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni.

Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga mkono viboko kuondolewa, sasa turudi kwenye swali letu la kukaribisha siku ya wafanyakazi kesho;

Je, ungeweza kufika hapo ulipo bila adhabu ya viboko? Sasa umekuwa mtu mzima unafikiri mtoto wako anatakiwa kucharazwa ili mambo yaende? Au atakuja kukushukuru baadaye kama wewe unavyoshukuru kuchapwa leo (kama jibu lako litakuwa hapana).

Twende kazi wakuu.

Pia soma
- News Alert: - Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?
Nimewahi kuchapwa, ila sijaona kama fimbo ndio zimenifikisha hapa nilipo. Watoto najaribu kutoa maelezo zaidi na kuwasimamia kwa karibu, kwani nimeona fimbo zinawafanya wawe kiburi.
 
Sahihi mkuu.

Nimekuwa nikijifanya tafiti nsmna ninavyowalea wanangu na namna watu wengine wanavyowalea watoto wao.

Nikaja kugundua kwamba wanaowachapa watoto wao kwa makosa fulani bado wale watoto huyarudia makosa ijapokuwa wanachapwa.

Na mwanangu kama mtoto huyarudia makosa yale jaokuwa mimi simchapi bakosa ila huwa anaacha taratibu.

Nikawa najiuliza kwa nini niumize mwili wa mwanangu kwa kumkataza kitu ambacho hata wale wanaopigwa wanaendelea kukifanya ?

Nikagundua kwamba viboko sio suluhisho bali ni hekima na ku WAWIN WATOTO THE WAY THEY THINK AND NOT THE WAY WE THINK AS A PARENTS.

Mfano mzuri sana huwa napenda kuutumia kwa mwanangu ambaye huwa akiumwa kifua namsagia tangawizi ila sasa ili anywe basi mimi hujifanya ninainywa ile tangawizi huku nikisema hii juisi ya tangawizi ni tamu saana eeee huku nikiwa nagugumia ule upilipili wake.

Mwanangu kwa shauku yake wala sigombani nae basi anakuja nae husema anataka ile juisi na huinywa huku naye akirudia maneno ninayoyasema mimi na anakuwa amekunywa bila nguvu.

Mwanangu huwa anapenda sana kutembea ila huwa hapendi kula,ninachokifanya namuambia kwamba kula upate nguvu ili tukatembee,anakula bila shida na maisha yanaendelea.

Endao wazazi tutawalea watoto kwa kuwaza kama wanavyowaza wao basi tutaanza kuona mabadiliko.
Mtoto wako atakua mdogo na bado hajaanza kujichanganya na jamii zetu hizi.
 
Nionavyo Watu wa mabasi ya njano hawawezi kulielewa hili tatizo vizuri; hivyo linastahili kujadiliwa zaidi na watu wa kawaida ambao kwa bahati mbaya wapo wachache sana huku kwenye mitandao....
Kiukweli kwa mazingira ya Ulimwengu wa tatu; unaweza kupunguza Viboko ila sio kufuta
Nitoe mfano mmoja tu;
Watoto karibia 70% wapo vijijini ambapo kule kwa familia nyingi haziwapatii mahitaji yao yote kwa ukamilifu
Namaanisha; hawapati Chakula (milo mitatu), mavazi ya kueleweka, malazi na Elimu bora
1. Changamoto mfano ya Chakula; Imepelekea watoto wengi kuwa wadokozi/wezi wa vitu kama Miwa, maembe, maparachichi, kwenda kudowea kwa watu nk nk
2. Ukosefu wa mahitaji ya Shule; husababisha watoto wawe wadokozi/wezi wa kalam, madaftari, vitabu nk
3. Ukosefu wa mavazi rasmi; hufanya watoto wawe wadokozi wa mapala /viatu nk
4. Watoto pia huwa wadokozi wa vifaa mbalimbali vya michezo nk nk nk
5. Changamoto hizo hufanya watoto wawe wakorofi na kupigana pigana hovyo
6. Hapo sijaongelea ukuaji wa watoto wa vijini ambapo wana achwa kwa jirani wazazi wakiwa shamba au kuachwa nyumbani walelewe na watoto wenzao (wafue, wapike, wafagie, wachunge mbuzi nk nknk)

Mara nyingi hizi tabia hukua na kuimarika mtoto anapovyo kua; hivyo, kipindi yupo madarasa ya juu kuanzia la tano hivi hadi form two huwa ni kero sana kwa wanafunzi wengine na kwa jamii na ndio mwishoni huwa Vibaka wanao sumbua jamii mitaani.

Kimsingi tatizo hapa ni Umasikini kwa asilimia 90% hivyo sio jambo unaweza kulitolea kauli kuwa limalizike leo au kesho; Kwa maana hiyo, kitu pekee kinaweza kurekebisha changamoto hizo na hasa zikiwa zimeota mizizi ni Viboko vikiambatana na adhabu nyingine.
Wasiwasi wangu ni kuwa, tukicopy na kupaste wanayofanya Wazungu ambapo watoto wao wote wapo kwenye hadhi ya kupanda mabasi ya njano TUTACHEMSHA!!! hapo baadae tutakuwa na Taifa lililojaa Vibaka/wezi/wadokozi ambao watakuwa kero sana mitaani kote.

Kwa zile shule/wanafunzi wa mabasi ya njano, angalau hii hoja moja niliyo ongelea inaweza isiwahusu sana hivyo hata wakiamua kufuta viboko wakabaki na adhabu mbadala inaweza isiwe tatizo kwao....
 
Umemaliza kila kitu hapo, mfano mwingine mtoto wa shule ya mabasi ya njano, asubuhi anaamshwa na dada wa kazi, anaandaliwa maji ya kuoga, mswaki huku nguo zake za shule zikiwa zimeandaliwa zanamsubiri.

Akimaliza kuoga anakuta chai tayari imepoozwa vizuri na vitafunwa vyake,akimaliza hapo anashikwa mkono hadi kituoni kupanda basi lakumpeleka shule na punde tu likifika anapokewa na mhudumu wa basi tayari kwa safari ya shule.

Akifika shule anakuta kilakitu kimefanyika ikiwemo usafi wa mazingira,dalasa ofisi, na vyoo hivyo akifika yeye kazi yke ni kuanza na masomo tu(kitu kinacho tengeneza udumavu) mtaani baada ya shule nyumba za kupanga kuna zamu ya usafi,kukimbazana na mda kuamka na kuwahi daladala ama kula ngoko mpaka jobu,

Shule za kata changamoto kubwa ni zinahudumia maskini na watoto wa walala hoi wazazi wanaamka kwa kukimbizana watoto hawana dada wa kazi wa kuwasimamia kujiandaa hivyo mzazi ukizubaa utakuta mtoto hajaenda shule wiki wazazi mkitoka mnamwacha amelala mkijua mda wa shule ataamka ajiandae sasa bila fear factor huyu hatajiasha kujiandaa kingine ukosefu wa vifaa mfano nguo madaftari umekithiri huku.

Umaskini wa serikali hupelekea upungufu wa wahudumu hivyo jukumu la kutunza mazingira ya shule ni mwanafunzi ikiwemo kufanya usafi na ndio maana ili kuondoa uzembe kkukawekwa utaratibu wa kuhesabu namkwa wanafunzi wanaofika saa moja kamili halafu mnatawanyika kufanya usafi kwa dakika 45 kabla ya kuitwa mstalini

Baada ya hpo vipindi vinaanza kumbuka huyu wanafunzi wengi hapa wameandaa wenyewe mpaka kufika shule hivyo bila kuweka adhabu ya viboko nguo zitakua hazifuliwi kwa wakati ndio maana hizi shule zinaukaguzi wa usafi maana wanajua wanafunzi wengi wanafanya wao wenyewe bila viboko mazingira ya shule hawatawajibika kwenye usafi ipasavyo bila viboko kwa idadi ya wingi wao wengi hawataandika, watapigana sana bila sababu watatoroka sana masomo bila sababu, watachelwa sana kuripoti shule kwa uzembe wa makusudi,watatumia sana lugha chafu shuleni zidi ya wenzao bila kuwa na azabu ya viboko kumbuka mzazi ni kibarua analazimika kutoka asubuhi sana na kurudi usiku hivyo nafasi ya kukaa sana na mtoto hana na msaidizi hana inabidi watoto mjichekeke wenyewe mkubwa ndio kiranja
 
Kama Nyani na Ngedere wanawaadhibu watoto wao kwa viboko wewe ni nani upingane na nature..?? Alfred Einstein once said.. If you want to Understand life Look deep into nature..

Hata maandiko yanakuambia usimnyime mtoto mapigo..
 
Nyie mnataka kuiga jamii za kimagharibi.. Hivi mnajua jamii za kimagharibi ni za hovyo kiasi gani katika suala la malezi ya watoto..?? Mjadala wa viboko ninauona kama mjadala wa washamba Fulani wasiojitambua wala kufahamu chochote kuhusuana na jamii zetu za kiafrika..
 
Aseeh katka watu wamewahi kupgwa bas mmoja wapo ni mm sio home sio shule hakika nlkuwa sina wakunitetea, mm skuwa mkorofi sana ila nlkuwa ni mbishi tu, Kuna wakat nlkuwa napgwa kwa kuonewa bana maana nlichokuwa nakisimamia ilikuwa ni haki yangu.
 
Back
Top Bottom