Sio kweli mkuu kutokana na ushahidi wangu mimi mwenyewe ambaye nilikuwa siwakubali waalimu wanaochapa fimbo.Nature ya kimazingira na saikolojia ya wanafunzi Huwa hawawapend walimu wapole
Cha ajabu sasa hawa watoto waliolelewa kwa viboko ndio hawa hawa mafisadi walioko serikalini hawana maadili pia ni wezi, waongo, na sio waaminifu na hawana nidhamu ya maisha.Kwa culture na tamaduni zetu viboko ni muhimu. Vinasaidia sana kumshepu mtoto, na kujenga heshima kwa wakubwa. Na kuwa na utiifu ambayo humsaidia kufikia malengo yake baadae, angalia mtoto aliekulia maisha ya kudekezwa na bila viboko walivyo na dharau kujiona. Hawa ndo wale ukubwani hawatakuwa na misingi bora ya heshima na nidhamu kwenye vitu wavifanyavyo.
Sahihi mkuu.Kufuga unatumia viboko
Kulea unatumia AKILI na HEKIMA
Katika parenting hakuna sehemu IPO recommended kutumia VIBOKO.
You a good parent ever.Sahihi mkuu.
Nimekuwa nikijifanya tafiti nsmna ninavyowalea wanangu na namna watu wengine wanavyowalea watoto wao.
Nikaja kugundua kwamba wanaowachapa watoto wao kwa makosa fulani bado wale watoto huyarudia makosa ijapokuwa wanachapwa.
Na mwanangu kama mtoto huyarudia makosa yale jaokuwa mimi simchapi bakosa ila huwa anaacha taratibu.
Nikawa najiuliza kwa nini niumize mwili wa mwanangu kwa kumkataza kitu ambacho hata wale wanaopigwa wanaendelea kukifanya ?
Nikagundua kwamba viboko sio suluhisho bali ni hekima na ku WAWIN WATOTO THE WAY THEY THINK AND NOT THE WAY WE THINK AS A PARENTS.
Mfano mzuri sana huwa napenda kuutumia kwa mwanangu ambaye huwa akiumwa kifua namsagia tangawizi ila sasa ili anywe basi mimi hujifanya ninainywa ile tangawizi huku nikisema hii juisi ya tangawizi ni tamu saana eeee huku nikiwa nagugumia ule upilipili wake.
Mwanangu kwa shauku yake wala sigombani nae basi anakuja nae husema anataka ile juisi na huinywa huku naye akirudia maneno ninayoyasema mimi na anakuwa amekunywa bila nguvu.
Mwanangu huwa anapenda sana kutembea ila huwa hapendi kula,ninachokifanya namuambia kwamba kula upate nguvu ili tukatembee,anakula bila shida na maisha yanaendelea.
Endao wazazi tutawalea watoto kwa kuwaza kama wanavyowaza wao basi tutaanza kuona mabadiliko.
Safi sanaSahihi mkuu.

Nimewahi kuchapwa, ila sijaona kama fimbo ndio zimenifikisha hapa nilipo. Watoto najaribu kutoa maelezo zaidi na kuwasimamia kwa karibu, kwani nimeona fimbo zinawafanya wawe kiburi.Wakuu kwema?
JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni.
Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga mkono viboko kuondolewa, sasa turudi kwenye swali letu la kukaribisha siku ya wafanyakazi kesho;
Je, ungeweza kufika hapo ulipo bila adhabu ya viboko? Sasa umekuwa mtu mzima unafikiri mtoto wako anatakiwa kucharazwa ili mambo yaende? Au atakuja kukushukuru baadaye kama wewe unavyoshukuru kuchapwa leo (kama jibu lako litakuwa hapana).
Twende kazi wakuu.
Pia soma
- News Alert: - Je, ni kweli Adhabu ya Viboko inasaidia kuongeza Nidhamu na Uelewa kwa Mtoto?
Mtoto wako atakua mdogo na bado hajaanza kujichanganya na jamii zetu hizi.Sahihi mkuu.
Nimekuwa nikijifanya tafiti nsmna ninavyowalea wanangu na namna watu wengine wanavyowalea watoto wao.
Nikaja kugundua kwamba wanaowachapa watoto wao kwa makosa fulani bado wale watoto huyarudia makosa ijapokuwa wanachapwa.
Na mwanangu kama mtoto huyarudia makosa yale jaokuwa mimi simchapi bakosa ila huwa anaacha taratibu.
Nikawa najiuliza kwa nini niumize mwili wa mwanangu kwa kumkataza kitu ambacho hata wale wanaopigwa wanaendelea kukifanya ?
Nikagundua kwamba viboko sio suluhisho bali ni hekima na ku WAWIN WATOTO THE WAY THEY THINK AND NOT THE WAY WE THINK AS A PARENTS.
Mfano mzuri sana huwa napenda kuutumia kwa mwanangu ambaye huwa akiumwa kifua namsagia tangawizi ila sasa ili anywe basi mimi hujifanya ninainywa ile tangawizi huku nikisema hii juisi ya tangawizi ni tamu saana eeee huku nikiwa nagugumia ule upilipili wake.
Mwanangu kwa shauku yake wala sigombani nae basi anakuja nae husema anataka ile juisi na huinywa huku naye akirudia maneno ninayoyasema mimi na anakuwa amekunywa bila nguvu.
Mwanangu huwa anapenda sana kutembea ila huwa hapendi kula,ninachokifanya namuambia kwamba kula upate nguvu ili tukatembee,anakula bila shida na maisha yanaendelea.
Endao wazazi tutawalea watoto kwa kuwaza kama wanavyowaza wao basi tutaanza kuona mabadiliko.
Ilimradi tu upinge na kudogosha jitihada zangu mkuu.Mtoto wako atakua mdogo na bado hajaanza kujichanganya na jamii zetu hizi.