Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande wangu mimi, ningekuwa na u-rewind muda katika kipindi kile tu ambacho baba yangu mzazi alikuwa hai!Mi binafsi ningechukua Tsh. 1m, ningeweka fixed halafu ningeenda mbele kama miaka 100 kula faida.
Wewe ungefanya nini, kitu gani ungebadilisha?