Ungewezaaaa mie ningeweza

Ungewezaaaa mie ningeweza

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Dear Readers especially hawa wanaume,

Hamjamboo,kuna kisa kimoja kimeniumiza sana. Hiki kisa nikiko hivi.
Waliingia majambazi wakataka kumuua jamaa . Ila mke wake alijitoa kwa majambazi . Na majambazi wakakubaliana mmoja wao. Alale na mwanamke wa jamaa.

So mchizi akaambiwa na majambazi hao aangalie mkewe akiwa mapenzini na jamaa .

Baada ya kumaliza haja zake . Wakaondoka na hawakuchukua lolote. Natokea hapo jamaa akamwambia mkewe waachane hata kama alimuokoa kwa staili hiyo yeye hawezi

sasa ingekuwa wewe ungefanyaje??
Nanimke wa ndoa
 
Hadithi za Sukununu
 
Huyo jamaa angekuwa muhindi .. Mke wa star haguswagi.. pale pale angekata minyororo kwa mikono wote wangepigwa wakitokea juu ya paaa la bati
 
Dear Readers especially hawa wanaume,

Hamjamboo,kuna kisa kimoja kimeniumiza sana. Hiki kisa nikiko hivi.
Waliingia majambazi wakataka kumuua jamaa . Ila mke wake alijitoa kwa majambazi . Na majambazi wakakubaliana mmoja wao. Alale na mwanamke wa jamaa.

So mchizi akaambiwa na majambazi hao aangalie mkewe akiwa mapenzini na jamaa .

Baada ya kumaliza haja zake . Wakaondoka na hawakuchukua lolote. Natokea hapo jamaa akamwambia mkewe waachane hata kama alimuokoa kwa staili hiyo yeye hawezi

sasa ingekuwa wewe ungefanyaje??
Nanimke wa ndoa
ukifa ukiwa unatetea familia yako ni jihad , so ningejitahidi angalau niondoke na mmoja .
 
Back
Top Bottom