Ungezaliwa upya ungependa kuzaliwa nchi gani?

Alooooooo.
mimi ningependa kuzaliwa cuba.
sio kwa sabu za umaarufu wa kijinga cuba inayopewa na wabongo bali ni sababu ya advancement yao kwenye masuala ya afya.
regarding napenda sana afya.
tofauti na hapo ningependa kuzaliwa israel sababu hakuna watu nawapenda kama wayahudi.
 
Ww

Ww n myahudi
 
Back
Top Bottom