Ungezaliwa upya ungependa kuzaliwa nchi gani?

Ungezaliwa upya ungependa kuzaliwa nchi gani?

United States,
Mifumo bora ya sheria na haki,
demokrasia,
uhuru,
multi cultural, na inakutengenezea fursa nzuri za kutimiza ndoto zako kiuchumi.

japo napenda Saudi arabia, qatar,n.k kwa sababu ya pesa ya mafuta lakini mono racial,mono culture and religion ni hatari.
 
New York City, USA

Nikipotea njia basi ntaangukia

Beijing, China

Nikikoswakoswa ntaangukia

Hong Kong, China

Nikipotea basi ntaangukia

Moscow, Russia

Nikipotea uelekea ntaangukia

Shenzhen, China
 
MBIGUNI ningezaliwa nisingekua na mawazo haya kwakweli [emoji23]
 
Bado sijaona nchi nzuri kama Tanzania, Nchi yangu naipenda kwa moyo wote.
 
Back
Top Bottom